Kwa hiyo aliyeleta taarifa ni mwandishi wa habari au humu JF wasio na taaluma ya uandishi hawaruhusiwi kuleta taarifa.Kihabari haiko sahihi ndio maana Tanzania waandishi wengi wa habari vigumu kupata kazi mashirika ya habari ya kimataifa kama CNN,BBC nk wako very shallow
Pia vyama vya upinzani ngumu kuaminiwa kimataifa sababu wako shallow kujenga hoja
Chadema ilipata wafadhili wengi Ulaya na Marekani kipindi cha Dr Slaa sababu alikuwa na evidence akituhumu Serikali anashusha ushahidi hadi basi
Chadema sasa hivi kazi kurusha umbeya kwanza hawajui kuwa taarifa ya kwanza ndio ya muhimu inabidi abebe ushahidi na taarifa za uhakika
Wao wanaweka breaking news za kibwege zisizo na taarifa za kina ni utoto
Unamaana CDM tu ndio huwa wanaleta taarifa zisizo na kina vyama vingine huwa vinajieleza kwa kina, kwa taarifa tu hata hao CNN/ BBC huwa wanaanza na Breaking News baadae wanakuja na taarifa kamili baada ya kujiridhisha.