Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wewe inaonekana hupo sawa.Jamiiforums mada kama hizi mfute kama mtu hana reason Ili kujenga hadhi ya jamii forums itasaidia kuweka discipline kuhakikisha mtu kuleta mada kama hizi awe na ushahidi wa kakamatiwa nini?
Moderators mu enforce discipline kufanya jamiiforums kuwa platform highly reliable
Hivi leo hii, mtu akaleta habari kuwa YEHODAYA anaumwa, amelazwa. Utasema mleta habari ni mjinga kwa sababu hajaeleza Yehodaya anaumwa nini?
Yeye kasema tu kuwa mtu fulani kakamatwa na Polisi, wewe unalazimisha aseme sababu ya kukamatwa kwake, je, kama hajui?Kaleta habari, humu ndani kuna watu wengi, labda anawapasha habari wanaomfahamu. Kafanya kosa gani?