Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Mtoa mada yupo sahihi ameleta habari kama ilivyo lengo ni kuwajulisha flani amekamatwa na wala hajaongeza chumvi umepewa na screensht wenda na yeye anahisi mnazijua sababu tujadiliane unaanza kulalamika basi subir ITV saa mbili jion watakupa sababu maana inaonekana hujui maana ya forum
Wanaumoja tabu sana🏃
 
Jamiiforums mada kama hizi mfute kama mtu hana reason Ili kujenga hadhi ya jamii forums itasaidia kuweka discipline kuhakikisha mtu kuleta mada kama hizi awe na ushahidi wa kakamatiwa nini?

Moderators mu enforce discipline kufanya jamiiforums kuwa platform highly reliable
Mpuuzi wewe, habari umepewa flani amekamatwa, kwani mtoa mada ni mkamataji?
 
SASA KAMA ANAKOSA ASIKAMATWE YEYE NI NANI? ACHENI UHUNI WENU ITAJULKIKANA ALIKOSEA WAPI AU TAYARI MMESHAJUWA KAKAMATWA KWAKOSA GANI?
Wewe mhutu uliyejipatia unjagu katika nchi isiyo na mipaka! Watu hutunziwa heshima kwa kuitwa polisi! Huwa kuna shida gani kuvizia kama majambazi! Au kwenu Burundi ndiyo style yenu!?
 
Mbona watu wanakamatwa kila siku na maisha yanaenda tu...kama kafanya kosa lazima akamatwe labda kama habar ingekuwa inasema kaonewa au kuna kitu hakipo sawa ila swala la kudakwa ni inshu ya kawaida sana labda tu kama tunataka kukuza mambo.Huku uswahilini kupelekwa kituoni ni kawaida sana na wala hutaandki mitandaoni.
Mbona wa watu wanatekwa na maisha yanasonga? Warundi siku zenu zimeisha! Baba yenu alikufa???
 
Habari hii ni kwa mujibu wa Hilda Newton kupitia mtandao wa twitter:

View attachment 2194271
Nilisikia akidai yuko tayari kutoa ushahidi kwa Rais Samia kuhudu ufisadi wa fedha za serikali kwenye idara fulani( iliyokutwa na wizi wa fedha za wageni) huenda kaenda kutoa ushahidi. May be.

Tutaendelea kujua nini kinafata


Tunaamini serikali ya Mama haina mawaaa.
 
Back
Top Bottom