Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Hivi huyu ndo yule gari yake ilionekana Kilimanjaro wakati fulani ime park sio sawa sawa jamaa aliyepiga picha alitafutwa akadakwa na kufanywa hakuna..... basi Karma is a Bitch!!!
 
Sisi hatujawahi kuwa upande wa mama na hatutakuja kuwa huko
 
Halima mdee cha bwanako kimeungua huko sepa huku!
 
Akili kubwa sana imetumika...
achana na mtandao wa 2005 - Mkapa mwenyewe ilibidi aombe poo ndani ya mkutano mkuu wa CCM.

By the time anatoka atakumbuka njia ya kwenda kwao tu - CCM aisee !!
 
Nyinyi ndo vyeti feki ambao JPM aliamua kudeal na nyinyi, hamna uwezo wa kujadili hoja badala yake mnawaza kushambulia tu.

Okay mimi la 4B, kuna nini ulitaka kusema?
Acha kelele monta anaandika majina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…