Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Hivi huyu ndo yule gari yake ilionekana Kilimanjaro wakati fulani ime park sio sawa sawa jamaa aliyepiga picha alitafutwa akadakwa na kufanywa hakuna..... basi Karma is a Bitch!!!Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏