EEeeeenHeeee!Dogo acha kuangalia sana movies zinakuharibu
moyo niache nasema niacheKwani si wanalipwa kwa kodi zetu
mdomo hauna kodi masikini ya Mungu mengi, mlongo vangu uhikili?a.k.a Kiboga
Huenda ni kweli yapo juu ya uwezo wangu, ila ushauri wangu acha kuangalia sana movies zinakupotosha PERIODEEeeeenHeeee!
Angalia anayemwita mwenzake "dogo" hapa!
Hana hili wala lile katika maswala yanayoongelewa, lakini kwa mipasho hana kikomo!
Mambo yaliyo juu ya uwezo wako wa kufikiri ni lazima uone maluweluwe.
Unachukia sana jamaa wakiongelewa . Una maslahi nao!? Kitu gani wanachokitafuta wewe chawa!?Mijitu inapenda kweli kuwajadili wale mabwana... sijui wanaonaga wanafaidi sana kule.. Pengine akili zao zinawatuma wajamaa wanakula mkate wenye blue-band na maziwa everyday! Mchana pilau ya mchele wa pishori usiku tambi za kuku na juice nzito na wanapewa mishahara bila kazi. Labda ndo akili za waswahili maana waafrika tuna wivu na fitna sana! Yapomambo tele ya kushughulika nayo ila wanaona hapana wafuatilie na hayo nyeti. Kuna kitu mnakitafuta 😃
Mziki wake kitu gani wewe!? Unajifanya unawajua sana, mbona wengine wakisema wanawajua unawapinga.!?Aliyempa mungu kampa... kila mtu na rizq yake... waingie waone mziki wake 😊☻
Hujielewi wewe... 😊🖕🏾Unachukia sana jamaa wakiongelewa . Una maslahi nao!? Kitu gani wanachokitafuta wewe chawa!?
Hehehe! As i said before... HUJIELEWI WEWE... Hata avatar yako umemuweka mtu asiyejielewa 😊Mziki wake kitu gani wewe!? Unajifanya unawajua sana, mbona wengine wakisema wanawajua unawapinga.!?
Mtu mwenyewe unajiita hohehahe, akili ya kufikiri utaipata wapi, zaidi ya kuwaza utaokoteza wapi msosi na wapi utalaza ubavu wako!Hehehe! As i said before... HUJIELEWI WEWE... Hata avatar yako umemuweka mtu asiyejielewa 😊
Role model wa vijana wasiojielewa na wanaoabudu bangi. Tangu lini mvuta bangi akawa timamu kiakili. Hujielewi wewe pigizana kelele na wavuta bange wenzio na wakina Jay jay kama wewe 😊😊😊🖕🏾
Bado huelewi kitu gani hapo.Huenda ni kweli yapo juu ya uwezo wangu, ila ushauri wangu acha kuangalia sana movies zinakupotosha PERIOD
Naelewa ndio maana nakupinga, ni kweli teknolojia imekuwa sana ila kufuta kumbukumbu fulani uache nyingine hiyo inawezekana kwenye movie tu, hata hiyo amerika waliopiga hatua kiteknolojia hawawezi kufanya hiyo jambo upo?Bado huelewi kitu gani hapo.
Wewe uko dunia ya gizani kabisa. Jaribu kufungua macho na kuona dunia inakokwenda.
Nikikwambia hayo ndiyo mambo ninayofanya wewe utasemaje; najua huwezi kuamini, kwa sababu dunia yako haikuruhusu, wala haikuwezeshi kuelewa kinachoendelea duniani kwa sasa.
bangi iheshimiwe. ACHA UDUWANZI,.Mtu mwenyewe unajiita hohehahe, akili ya kufikiri utaipata wapi, zaidi ya kuwaza utaokoteza wapi msosi na wapi utalaza ubavu wako!
Aliyeiponda bangi humjui!? Au kusoma kwako ni shida!?bangi iheshimiwe. ACHA UDUWANZI,.
HAHAHAHAHAHA! POLE SANA!Mtu mwenyewe unajiita hohehahe, akili ya kufikiri utaipata wapi, zaidi ya kuwaza utaokoteza wapi msosi na wapi utalaza ubavu wako!
Katika mawazo yako ni sawa, kwa sababu hujui unachoongelea hapa.Naelewa ndio maana nakupinga, ni kweli teknolojia imekuwa sana ila kufuta kumbukumbu fulani uache nyingine hiyo inawezekana kwenye movie tu, hata hiyo amerika waliopiga hatua kiteknolojia hawawezi kufanya hiyo jambo upo?
We unapajua huko amerika unapopataja na kubisha usivyovijua?!Naelewa ndio maana nakupinga, ni kweli teknolojia imekuwa sana ila kufuta kumbukumbu fulani uache nyingine hiyo inawezekana kwenye movie tu, hata hiyo amerika waliopiga hatua kiteknolojia hawawezi kufanya hiyo jambo upo?
Kaka umempigia mbuzi gitaa. Hakukuwa na haja na hakuna haja ya kupoteza nguvu kwa vijana wajingawajinga wa namna hii. Waende wakabishanie kwenye majukwaa ya kina Harmonize huko... wavuta bange wenzao.... kuna msemo unasemwa hivi "usimtonye boya!"Katika mawazo yako ni sawa, kwa sababu hujui unachoongelea hapa.
Kumbukumbu ni za aina mbalimbali, kuna kumbukumbu za mambo ya karibuni, na kuna kumbukumbu za mambo ya muda mrefu. Kuna watu wanapoteza kumbukumbu za aina mbalimbali kutokana na magonjwa yanayowapata akilini. Msingi wake hapa ni kwamba, katika ubongo kuna sehemu mbalimbali zinazohusika na kumbukumbu. Sehemu moja ikidhurika, inaathiri aina fulani ya kumbukumbu bila kuathiri aina zingine.
Maana yake hii ni kwamba ubongo unavyo vimelea(?),'receptors' mbalimbali zinazoweza kutumiwa kuziba eneo hilo la ubongo. Dawa zinaweza kufanya hivyo.
Ukishajua 'receptors' za kumbukumbu fulani zipo wapi, unaelekeza dawa katika eneo hilo kuziziba receptors za huko.
Sasa kama hujui 'receptors' za jambo fulani zipo wapi, obviously huwezi kujua namna ya kuziziba.
Pombe na dawa, inayofannya kazi kwenye ubongo, pamoja na kwamba haichambui eneo maalum sana, inaathiri hata za mambo mengine.
Dawa za kulevya ni hivyo hivyo.
Sasa mimi ninakwambia, badala ya kupeleka kiholela dawa zinazoathiri ubongo, kazi iliyopo sasa ni kuzichambua/kuchambua maeneo maalum ndani ya ubongo yanayohusika na jambo unalotaka kulififisha.
Hizi siyo 'movie' tena kama unavyofikiri wewe.
Na bado, mambo ndiyo yanazidi kunoga katika maeneo kama haya.
Bahati yetu iliyo mbaya, bado tunao viongozi wasiokuwa na maono ya kuwaelekeza vijana wetu wakachakarike katika mambo muhimu kama haya.
ushaelewa weweMstari wa mbele kwenye nini 🤣
Short term memory na Longterm memory hazina uhusiano na hicho unachotudanganya.Katika mawazo yako ni sawa, kwa sababu hujui unachoongelea hapa.
Wewe kutojua haina maana wengine nao hawawezi kujua.