Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Dogo acha kuangalia sana movies zinakuharibu
EEeeeenHeeee!

Angalia anayemwita mwenzake "dogo" hapa!

Hana hili wala lile katika maswala yanayoongelewa, lakini kwa mipasho hana kikomo!

Mambo yaliyo juu ya uwezo wako wa kufikiri ni lazima uone maluweluwe.
 
Huenda ni kweli yapo juu ya uwezo wangu, ila ushauri wangu acha kuangalia sana movies zinakupotosha PERIOD
 
Mijitu inapenda kweli kuwajadili wale mabwana... sijui wanaonaga wanafaidi sana kule.. Pengine akili zao zinawatuma wajamaa wanakula mkate wenye blue-band na maziwa everyday! Mchana pilau ya mchele wa pishori usiku tambi za kuku na juice nzito na wanapewa mishahara bila kazi. Labda ndo akili za waswahili maana waafrika tuna wivu na fitna sana! Yapomambo tele ya kushughulika nayo ila wanaona hapana wafuatilie na hayo nyeti. Kuna kitu mnakitafuta 😃
Unachukia sana jamaa wakiongelewa . Una maslahi nao!? Kitu gani wanachokitafuta wewe chawa!?
 
Mziki wake kitu gani wewe!? Unajifanya unawajua sana, mbona wengine wakisema wanawajua unawapinga.!?
Hehehe! As i said before... HUJIELEWI WEWE... Hata avatar yako umemuweka mtu asiyejielewa 😊

Role model wa vijana wasiojielewa na wanaoabudu bangi. Tangu lini mvuta bangi akawa timamu kiakili. Hujielewi wewe pigizana kelele na wavuta bange wenzio na wakina Jay jay kama wewe 😊😊😊🖕🏾
 
Mtu mwenyewe unajiita hohehahe, akili ya kufikiri utaipata wapi, zaidi ya kuwaza utaokoteza wapi msosi na wapi utalaza ubavu wako!
 
Huenda ni kweli yapo juu ya uwezo wangu, ila ushauri wangu acha kuangalia sana movies zinakupotosha PERIOD
Bado huelewi kitu gani hapo.
Wewe uko dunia ya gizani kabisa. Jaribu kufungua macho na kuona dunia inakokwenda.

Nikikwambia hayo ndiyo mambo ninayofanya wewe utasemaje; najua huwezi kuamini, kwa sababu dunia yako haikuruhusu, wala haikuwezeshi kuelewa kinachoendelea duniani kwa sasa.
 
Naelewa ndio maana nakupinga, ni kweli teknolojia imekuwa sana ila kufuta kumbukumbu fulani uache nyingine hiyo inawezekana kwenye movie tu, hata hiyo amerika waliopiga hatua kiteknolojia hawawezi kufanya hiyo jambo upo?
 
Katika mawazo yako ni sawa, kwa sababu hujui unachoongelea hapa.

Wewe kutojua haina maana wengine nao hawawezi kujua.

Kumbukumbu ni za aina mbalimbali, kuna kumbukumbu za mambo ya karibuni, na kuna kumbukumbu za mambo ya muda mrefu. Kuna watu wanapoteza kumbukumbu za aina mbalimbali kutokana na magonjwa yanayowapata akilini. Msingi wake hapa ni kwamba, katika ubongo kuna sehemu mbalimbali zinazohusika na kumbukumbu. Sehemu moja ikidhurika, inaathiri aina fulani ya kumbukumbu bila kuathiri aina zingine.

Maana yake hii ni kwamba ubongo unavyo vimelea(?),'receptors' mbalimbali zinazoweza kutumiwa kuziba eneo hilo la ubongo. Dawa zinaweza kufanya hivyo.
Ukishajua 'receptors' za kumbukumbu fulani zipo wapi, unaelekeza dawa katika eneo hilo kuziziba receptors za huko.

Sasa kama hujui 'receptors' za jambo fulani zipo wapi, obviously huwezi kujua namna ya kuziziba.

Pombe na dawa, inayofannya kazi kwenye ubongo, pamoja na kwamba haichambui eneo maalum sana, inaathiri hata za mambo mengine.

Dawa za kulevya ni hivyo hivyo.

Sasa mimi ninakwambia, badala ya kupeleka kiholela dawa zinazoathiri ubongo, kazi iliyopo sasa ni kuzichambua/kuchambua maeneo maalum ndani ya ubongo yanayohusika na jambo unalotaka kulififisha.

Hizi siyo 'movie' tena kama unavyofikiri wewe.

Na bado, mambo ndiyo yanazidi kunoga katika maeneo kama haya.

Bahati yetu iliyo mbaya, bado tunao viongozi wasiokuwa na maono ya kuwaelekeza vijana wetu wakachakarike katika mambo muhimu kama haya.
 
We unapajua huko amerika unapopataja na kubisha usivyovijua?!
 
Kaka umempigia mbuzi gitaa. Hakukuwa na haja na hakuna haja ya kupoteza nguvu kwa vijana wajingawajinga wa namna hii. Waende wakabishanie kwenye majukwaa ya kina Harmonize huko... wavuta bange wenzao.... kuna msemo unasemwa hivi "usimtonye boya!"

Ujinga mzigo!
 
Katika mawazo yako ni sawa, kwa sababu hujui unachoongelea hapa.

Wewe kutojua haina maana wengine nao hawawezi kujua.

Kumbukumbu ni za aina mbalimbali, kuna kumbukumbu za mambo ya karibuni, na kuna kumbukumbu za mambo ya muda mrefu. Kuna watu wanapoteza kumbukumbu za aina mbalimbali kutokana na magonjwa yanayowapata akilini. Msingi wake hapa ni kwamba, katika ubongo kuna sehemu mbalimbali zinazohusika na kumbukumbu. Sehemu moja ikidhurika, inaathiri aina fulani ya kumbukumbu bila kuathiri aina zingine.

Maana yake hii ni kwamba ubongo unavyo vimelea(?),'receptors' mbalimbali zinazoweza kutumiwa kuziba eneo hilo la ubongo. Dawa zinaweza kufanya hivyo.
Ukishajua 'receptors' za kumbukumbu fulani zipo wapi, unaelekeza dawa katika eneo hilo kuziziba receptors za huko.

Sasa kama hujui 'receptors' za jambo fulani zipo wapi, obviously huwezi kujua namna ya kuziziba.

Pombe na dawa, inayofannya kazi kwenye ubongo, pamoja na kwamba haichambui eneo maalum sana, inaathiri hata za mambo mengine.

Dawa za kulevya ni hivyo hivyo.

Sasa mimi ninakwambia, badala ya kupeleka kiholela dawa zinazoathiri ubongo, kazi iliyopo sasa ni kuzichambua/kuchambua maeneo maalum ndani ya ubongo yanayohusika na jambo unalotaka kulififisha.

Hizi siyo 'movie' tena kama unavyofikiri wewe.

Na bado, mambo ndiyo yanazidi kunoga katika maeneo kama haya.

Bahati yetu iliyo mbaya, bado tunao viongozi wasiokuwa na maono ya kuwaelekeza vijana wetu wakachakarike katika mambo muhimu kama haya.
Short term memory na Longterm memory hazina uhusiano na hicho unachotudanganya.
Short term memory ni kumbukumbu za papo kwa papo mfano mtu umemuagiza vocha kabla hajafika dukani kasahau hiyo anatatizo la kupoteza short term memory. Long term memory loss ina include a year or two nahapo mtu hupoteza kumbukumbu zote sio selective kama unavyotaka kuwadanganya mandezi wenzako.

Eti receptors za jambo fulani receptor zilizotumika kucapture siri ya jambo fulani mwezi uliopita ndo hizo hizo zitatumika kucapture tukio la fumanizi, au la kupata mtoto, mchumba, au mke. Kwa hiyo ukiziblock sio kama umeblock siri fulani tu bali umeblock mpaka memory za mchumba, mke, mtoto na kila kitu kilichokua received after that siri. Upo
 
Back
Top Bottom