Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Babu wanafutana memory huko ukizingua,dizaini dishi linayumba,alikuwepo mmoja makumbusho kafomatiwa

Kama ni dishi kuyumbiswa ni sawa, ila swala la kusema kwamba utameza vidonge ili usahau vitu selectively ni uongo.

Kwamfani Diwani amezeshwe vidonge vya kumfanya asahau yale yaliyohusu kazi yake bila kuathiri mengine yote, ni story tu
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu[emoji120][emoji120]
Watatajana tu siku moja.. ipo siku wataisema ile dhambi waliyoifanya
 
Mambo ya kweye movie mnataka myalete hapa??😂

Kwamba hivyo vidonge vinakwenda kufuta yale yanayohusu historia ya kazi yake tu? Kivipi?


Maana kama ni vidonge vya kufuta kumbukumbu, natarajia akizinduka awe hajui hata (a e i o u), sasa hivyo vidonge vinawezaje kuwa selective??

Umeshiba kande eeeh?
Na wewe unaamini Kuna vidonge?Mkuu komenti za humu ukichukulia serious utapasuka kichwa.
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
Mi nashangaa timu gaidi wanashangilia nini. Naona wamepigwa na kitu kizito kichwani ila wanashangilia.
 
Wewe nawe umeanza kuzeeka na unashindwa tafakari vizuri..

Nilikwambia jana ujinga wote huu unaoendelea ni kutokana na mapungufu ya kikatiba.. Rais anafanya makosa ila hahusiki yeye anakuja husika aliyetumwa..

Wewe na mwenyekiti wako leo mko upande wa Mama..mnajikuta mko safe..

Atayefuatia atawakomesha kwa kuwaondoa wote ambao nyie leo mnafurahia. Komoa ni kukomoe.. KATIBA ya hovyo kabisa..

Katiba ya hovyo, lakini ukiambiwa udai katiba mpya unasema katiba haileti ugali mezani.
 
Back
Top Bottom