Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Wewe nawe umeanza kuzeeka na unashindwa tafakari vizuri..

Nilikwambia jana ujinga wote huu unaoendelea ni kutokana na mapungufu ya kikatiba.. Rais anafanya makosa ila hahusiki yeye anakuja husika aliyetumwa..

Wewe na mwenyekiti wako leo mko upande wa Mama..mnajikuta mko safe..

Atayefuatia atawakomesha kwa kuwaondoa wote ambao nyie leo mnafurahia. Komoa ni kukomoe.. KATIBA ya hovyo kabisa..
Katiba mpya ni sasa katiba mpya ni sasa hii yote ni kuwa rais anakuwa Mungu Mtu yaani anamamlaka makubwa sana akitaka hata kuiuza nchi inawezekana na hakuna cha kumfanya maana katiba ya leo inamlinda na kumpa mamlaka makubwa hashitakiwi kwa anayoyafanya akiwa madarakani kwaiyo siku tukipata rais kichaa atatuburuza atakavyo mpaka akili za katiba mpya zitukae sawa
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏

dah tuwe makini jaman na hizi taarifa hahaha huyu mtu yupo na nimemuona muda sio mrefu tena na yule bonge alikuwaga msaidizi wa magu
 
Mambo ya kweye movie mnataka myalete hapa??😂

Kwamba hivyo vidonge vinakwenda kufuta yale yanayohusu historia ya kazi yake tu? Kivipi?


Maana kama ni vidonge vya kufuta kumbukumbu, natarajia akizinduka awe hajui hata (a e i o u), sasa hivyo vidonge vinawezaje kuwa selective??

Umeshiba kande eeeh?
Babu wanafutana memory huko ukizingua,dizaini dishi linayumba,alikuwepo mmoja makumbusho kafomatiwa
 
Back
Top Bottom