Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Katiba mpya ni sasa katiba mpya ni sasa hii yote ni kuwa rais anakuwa Mungu Mtu yaani anamamlaka makubwa sana akitaka hata kuiuza nchi inawezekana na hakuna cha kumfanya maana katiba ya leo inamlinda na kumpa mamlaka makubwa hashitakiwi kwa anayoyafanya akiwa madarakani kwaiyo siku tukipata rais kichaa atatuburuza atakavyo mpaka akili za katiba mpya zitukae sawaWewe nawe umeanza kuzeeka na unashindwa tafakari vizuri..
Nilikwambia jana ujinga wote huu unaoendelea ni kutokana na mapungufu ya kikatiba.. Rais anafanya makosa ila hahusiki yeye anakuja husika aliyetumwa..
Wewe na mwenyekiti wako leo mko upande wa Mama..mnajikuta mko safe..
Atayefuatia atawakomesha kwa kuwaondoa wote ambao nyie leo mnafurahia. Komoa ni kukomoe.. KATIBA ya hovyo kabisa..