Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
Duh....
 
Shetani hana rafiki , vijana jifunzeni mambo haya
Wewe nawe umeanza kuzeeka na unashindwa tafakari vizuri..

Nilikwambia jana ujinga wote huu unaoendelea ni kutokana na mapungufu ya kikatiba.. Rais anafanya makosa ila hahusiki yeye anakuja husika aliyetumwa..

Wewe na mwenyekiti wako leo mko upande wa Mama..mnajikuta mko safe..

Atayefuatia atawakomesha kwa kuwaondoa wote ambao nyie leo mnafurahia. Komoa ni kukomoe.. KATIBA ya hovyo kabisa..
 
Amelowa-amelowaa
Amenyeshewa na mvua🤣

images (44).jpeg
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
Let's wait and see vyura watabweka sana
 
Back
Top Bottom