johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Usilolijua ni kama usiku wa giza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote hao hawana kosa.. they were following orders.. the mighty orders .Alitakiwa ku tune accordingly na ikibidi kuwa chawa kabisa wa Rais sio kujifanya unaficha wakati sio wote walikuwa wanakubaliana na hayo Mambo ya kishenzi huko ndani..
In fact Bora na Diwani Ila Kipilimba yule alitakiwa kuwa jela saizi.
Uko unapewa vidonge ukilala ukiamka utakuwa umeformat kila kitu Unaanza upya.Ukumbuki chochote.Wanakupekua mpaka kwenye ubongo ?
Raia mnajua kutunga story..!Nasikia alimtambia mbowe kwamba watamfanyia kama walivyomtenda bwana Ben Saa 1 mbowe juzi ndio kamchongea bwana Diwani kwa mama
kama Men in Black. Wana factory reset kila kitu. 😂Uko unapewa vidonge ukilala ukiamka utakuwa umeformat kila kitu Unaanza upya.Ukumbuki chochote.
Kwani Chawa anatakiwa kuwepo Ikulu tuu?Wewe uko njombe huko chawa mwandamizi unataka kujifanya unayajua ya magogoni
Anatakiwa kuwepo popote kwenye uchafuKwani Chawa anatakiwa kuwepo Ikulu tuu?
Chawa wapo kila sehemu
Mambo ya kweye movie mnataka myalete hapa??😂Uko unapewa vidonge ukilala ukiamka utakuwa umeformat kila kitu Unaanza upya.Ukumbuki chochote.
Hongera kwa kulitambua hiloRaia mnajua kutunga story..!
Aombe Mungu tu asije kuombwa Tigo pesa kama Mo😀😀😀Alitakiwa ku tune accordingly na ikibidi kuwa chawa kabisa wa Rais sio kujifanya unaficha wakati sio wote walikuwa wanakubaliana na hayo Mambo ya kishenzi huko ndani..
In fact Bora na Diwani Ila Kipilimba yule alitakiwa kuwa jela saizi.
Amenyeeshewa na mvuaa🗣️🗣️🗣️Amelowa-amelowaa
Alikusudia kumuua Lisu huyu jamaaInadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏