Babu wanafutana memory huko ukizingua,dizaini dishi linayumba,alikuwepo mmoja makumbusho kafomatiwa
Watatajana tu siku moja.. ipo siku wataisema ile dhambi waliyoifanyaInadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu[emoji120][emoji120]
Na wewe unaamini Kuna vidonge?Mkuu komenti za humu ukichukulia serious utapasuka kichwa.Mambo ya kweye movie mnataka myalete hapa??😂
Kwamba hivyo vidonge vinakwenda kufuta yale yanayohusu historia ya kazi yake tu? Kivipi?
Maana kama ni vidonge vya kufuta kumbukumbu, natarajia akizinduka awe hajui hata (a e i o u), sasa hivyo vidonge vinawezaje kuwa selective??
Umeshiba kande eeeh?
CIA mgumuAmelowa-amelowaa
NakaziaWana viapo hao ,hata kama hakubaliani na maamuzi ya mama inabidi akubali otherwise "Firing Squad" watafanya yao kama kwa KOMBE.
Hizo porojoKama ni dishi kuyumbiswa ni sawa, ila swala la kusema kwamba utameza vidonge ili usahau vitu selectively ni uongo.
Kwamfani Diwani amezeshwe vidonge vya kumfanya asahau yale yaliyohusu kazi yake bila kuathiri mengine yote, ni story tu
Simba queen sports clubTimu gaidi wanajionaga hii Tanzania ni yao
IpiWatatajana tu siku moja.. ipo siku wataisema ile dhambi waliyoifanya
Mi nashangaa timu gaidi wanashangilia nini. Naona wamepigwa na kitu kizito kichwani ila wanashangilia.Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
Na huko Mwenge nasikia gari hazipiti,wanapita baka baka tu na uelekeo ni huko huko nyumba nyeupe
Kwa maoni yangu malipo halali anayo stahili ni kwenda jela. Aliharibu uchaguzi 2020.
Wanamwongela nan? Jmn wengne siasa ingia toka,msaada plzNo cmnt
Ova
Siyo kweli nimepita hapo saa 12.15Na huko Mwenge nasikia gari hazipiti,wanapita baka baka tu na uelekeo ni huko huko nyumba nyeupe
Mambo ya joka la mdimu niguse ninuke
Mkuu jaribu kuvuta waya umuulize diwani wa kata yako 😂Wanamwongela nan? Jmn wengne siasa ingia toka,msaada plz
Hujampata tu mkuuWanamwongela nan? Jmn wengne siasa ingia toka,msaada plz
Wewe nawe umeanza kuzeeka na unashindwa tafakari vizuri..
Nilikwambia jana ujinga wote huu unaoendelea ni kutokana na mapungufu ya kikatiba.. Rais anafanya makosa ila hahusiki yeye anakuja husika aliyetumwa..
Wewe na mwenyekiti wako leo mko upande wa Mama..mnajikuta mko safe..
Atayefuatia atawakomesha kwa kuwaondoa wote ambao nyie leo mnafurahia. Komoa ni kukomoe.. KATIBA ya hovyo kabisa..