Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tunapenda sana hizi mada hata kama hatuelewi tunadandia treni tu.
 
Alitakiwa ku tune accordingly na ikibidi kuwa chawa kabisa wa Rais sio kujifanya unaficha wakati sio wote walikuwa wanakubaliana na hayo Mambo ya kishenzi huko ndani..

In fact Bora na Diwani Ila Kipilimba yule alitakiwa kuwa jela saizi.
Yule mzee alituangusha watu wa imani ...
Alifumbia macho uharo mwingi sana
 
Hii sio strategic fit kwa upinzani .

Tutarudi Chelsea 0 City 0


POSSESSION 75% KWA 25%😝
 
Chawa wa Chadema bwana. Watashadidia kitu ambacho hakipo na kujipongeza kwa ujuha wao!
 
Anatamani kusikiliza redio upendo asikie hata ule wimboo wa alilipa deni langu kwa gharama za mauti ..msamaahaa wa dhambi niliupata calvary
 
Mbona watu walijua JPM kafariki Kuna habari nyeti kuliko hiyo? Na ililetwa jf kma tetesi tu...... Acha exaggerations TISS ni wa kawaida sana no wonder hata yule gaidi wa ISIS alipita airport ya Dar bila kufahamika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…