Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Tunapenda sana hizi mada hata kama hatuelewi tunadandia treni tu.Watu bana 😊😊😊... binafsi nawashangaaga sana hasa ndugu watanzia wenzangu. Hivi mnafkiri mambo nyeti yanayoendelea kwenye idara huwa yanafahamika kizembe na kirahisi namna hiyo?! Wale sio watu wajinga wajinga na wa hovyo kama mnavyodhaniaga na kudanganyana au kudanganywa!... inawezekana kwenye mnayohisi au kusema mnayafahamu kwenye asilimia kumi (10%) kwa taarifa yenu hata asilimia moja na nusu (1.5%) haijafika.
Tujifunze kushkuru mungu kwa amani iliyopo mpaka mnakuja kuharisha hapa vya hovyo.