Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

cha ubishi wa watoto darasa la nne B
 
hebu eleza tena ?

wamememtia kizuizini ili wakate connection zake na wafute line zake za simu ?

Kwa hiyo watamweka ndani miaka mingapi ili akitoka humo hana connection yeyote, washkaji wote washakufa, work mate hawamkumbuki, and he knows nobody! Miaka mia ?
 
Usibeze.
Ni sayansi tu mkuu, 'Mac Alpho', ukishaijua hakuna linaloshindikana.

'Receptors' ndani ya ubongo zinazoshughulikia maswala husika zinachaguliwa na kushughulikiwa. Zisizohusika haziguswi.

Na kwa vile 'Artficial Intelligence' si jambo geni tena, maswala kama haya yatawezekana na zitakuwa siyo stori tena za vijiweni.

Hizo dawa anazozizungumzia hapo huyo jamaa , mkuu 'Puna', kama hadithi, zinakuwa 'designed' na program za komputa maalum kwa kazi hiyo ya kufuta 'receptors' husika na mambo ya kumbukumbu ya mambo fulani.
 
Mbona unaumwa kidole unameza dawa inaingia tumbuni then inaenda kutibu kidole, unaumwa kichwa unameza dawa inaingia tumboni lkn itaenda kutibu ubongo.
 

Are you formatted, au umeamua kutafuta spying angle kutaka kujua kama watu wanajua aua hawajui ya β€œcorridor”
Miaka kadhaa nyuma habari za β€œWHITE CORRIDORs” zilikuwa ziko exposed kiasi kwamba raia wakapata dada wa taifa na kigogo wa taifa, tetesi za mwendazake kutuacha zilianzia humu though viongozi kadhaa walikanusha ila ukweli ulisimama na jiwe likadondoka tetesi ikawa ukweli,
Afya ya Head of State ni very sensitive issue lakini ilikuwa exposed humu since day one yuko Makumbusho hadi anapewa referral kwenda nje ya nchi raia walikuwa updated humu humu β€œJF” unataka kusema nini kingine mkuu?

Recently, mtu kalete uzi kuhusu Diwani Kutolewa na Bi Mkubwa kuruhusu Mikutano hata mwezi hujaisha yametimia.

β€œWhat you don't know, you just don't want to know”
 
Wale ni watu kama sisi na ni wambea pia, acha kuwa kuza binafsi nawajua wengi tu na nivizibo tu, bia mbili tu yupo uchi
 
Hata ingekuwa ni wewe usingemuacha awe free tu kifalaaa...!!
 
Tumeanza speculation zetu Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…