Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Mambo ya kweye movie mnataka myalete hapa??😂

Kwamba hivyo vidonge vinakwenda kufuta yale yanayohusu historia ya kazi yake tu? Kivipi?

Maana kama ni vidonge vya kufuta kumbukumbu, natarajia akizinduka awe hajui hata (a e i o u), sasa hivyo vidonge vinawezaje kuwa selective??

Umeshiba kande eeeh?
cha ubishi wa watoto darasa la nne B
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
hebu eleza tena ?

wamememtia kizuizini ili wakate connection zake na wafute line zake za simu ?

Kwa hiyo watamweka ndani miaka mingapi ili akitoka humo hana connection yeyote, washkaji wote washakufa, work mate hawamkumbuki, and he knows nobody! Miaka mia ?
 
Mambo ya kweye movie mnataka myalete hapa??😂

Kwamba hivyo vidonge vinakwenda kufuta yale yanayohusu historia ya kazi yake tu? Kivipi?

Maana kama ni vidonge vya kufuta kumbukumbu, natarajia akizinduka awe hajui hata (a e i o u), sasa hivyo vidonge vinawezaje kuwa selective??

Umeshiba kande eeeh?
Usibeze.
Ni sayansi tu mkuu, 'Mac Alpho', ukishaijua hakuna linaloshindikana.

'Receptors' ndani ya ubongo zinazoshughulikia maswala husika zinachaguliwa na kushughulikiwa. Zisizohusika haziguswi.

Na kwa vile 'Artficial Intelligence' si jambo geni tena, maswala kama haya yatawezekana na zitakuwa siyo stori tena za vijiweni.

Hizo dawa anazozizungumzia hapo huyo jamaa , mkuu 'Puna', kama hadithi, zinakuwa 'designed' na program za komputa maalum kwa kazi hiyo ya kufuta 'receptors' husika na mambo ya kumbukumbu ya mambo fulani.
 
Mambo ya kweye movie mnataka myalete hapa??😂

Kwamba hivyo vidonge vinakwenda kufuta yale yanayohusu historia ya kazi yake tu? Kivipi?

Maana kama ni vidonge vya kufuta kumbukumbu, natarajia akizinduka awe hajui hata (a e i o u), sasa hivyo vidonge vinawezaje kuwa selective??

Umeshiba kande eeeh?
Mbona unaumwa kidole unameza dawa inaingia tumbuni then inaenda kutibu kidole, unaumwa kichwa unameza dawa inaingia tumboni lkn itaenda kutibu ubongo.
 
Watu bana [emoji4][emoji4][emoji4]... binafsi nawashangaaga sana hasa ndugu watanzania wenzangu. Hivi mnafkiri mambo nyeti yanayoendelea kwenye idara huwa yanafahamika kizembe na kirahisi namna hiyo?! Wale sio watu wajinga wajinga na wa hovyo kama mnavyodhaniaga na kudanganyana au kudanganywa!... inawezekana kwenye mnayohisi au kusema mnayafahamu kwenye asilimia kumi (10%) kwa taarifa yenu hata asilimia moja na nusu (1.5%) haijafika.

Tujifunze kushkuru mungu kwa amani iliyopo mpaka mnakuja kuharisha hapa vya hovyo.

Are you formatted, au umeamua kutafuta spying angle kutaka kujua kama watu wanajua aua hawajui ya “corridor”
Miaka kadhaa nyuma habari za “WHITE CORRIDORs” zilikuwa ziko exposed kiasi kwamba raia wakapata dada wa taifa na kigogo wa taifa, tetesi za mwendazake kutuacha zilianzia humu though viongozi kadhaa walikanusha ila ukweli ulisimama na jiwe likadondoka tetesi ikawa ukweli,
Afya ya Head of State ni very sensitive issue lakini ilikuwa exposed humu since day one yuko Makumbusho hadi anapewa referral kwenda nje ya nchi raia walikuwa updated humu humu “JF” unataka kusema nini kingine mkuu?

Recently, mtu kalete uzi kuhusu Diwani Kutolewa na Bi Mkubwa kuruhusu Mikutano hata mwezi hujaisha yametimia.

“What you don't know, you just don't want to know”
 
Watu bana [emoji4][emoji4][emoji4]... binafsi nawashangaaga sana hasa ndugu watanzania wenzangu. Hivi mnafkiri mambo nyeti yanayoendelea kwenye idara huwa yanafahamika kizembe na kirahisi namna hiyo?! Wale sio watu wajinga wajinga na wa hovyo kama mnavyodhaniaga na kudanganyana au kudanganywa!... inawezekana kwenye mnayohisi au kusema mnayafahamu kwenye asilimia kumi (10%) kwa taarifa yenu hata asilimia moja na nusu (1.5%) haijafika.

Tujifunze kushkuru mungu kwa amani iliyopo mpaka mnakuja kuharisha hapa vya hovyo.
Wale ni watu kama sisi na ni wambea pia, acha kuwa kuza binafsi nawajua wengi tu na nivizibo tu, bia mbili tu yupo uchi
 
Hata ingekuwa ni wewe usingemuacha awe free tu kifalaaa...!!
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu[emoji120][emoji120]
Tumeanza speculation zetu Tz
 
Back
Top Bottom