REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
cha ubishi wa watoto darasa la nne BMambo ya kweye movie mnataka myalete hapa??😂
Kwamba hivyo vidonge vinakwenda kufuta yale yanayohusu historia ya kazi yake tu? Kivipi?
Maana kama ni vidonge vya kufuta kumbukumbu, natarajia akizinduka awe hajui hata (a e i o u), sasa hivyo vidonge vinawezaje kuwa selective??
Umeshiba kande eeeh?