Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu[emoji120][emoji120]
HUYU NI ZAO LA mwendazake
 
Are you formatted, au umeamua kutafuta spying angle kutaka kujua kama watu wanajua aua hawajui ya “corridor”
Miaka kadhaa nyuma habari za “WHITE CORRIDORs” zilikuwa ziko exposed kiasi kwamba raia wakapata dada wa taifa na kigogo wa taifa, tetesi za mwendazake kutuacha zilianzia humu though viongozi kadhaa walikanusha ila ukweli ulisimama na jiwe likadondoka tetesi ikawa ukweli,
Afya ya Head of State ni very sensitive issue lakini ilikuwa exposed humu since day one yuko Makumbusho hadi anapewa referral kwenda nje ya nchi raia walikuwa updated humu humu “JF” unataka kusema nini kingine mkuu?

Recently, mtu kalete uzi kuhusu Diwani Kutolewa na Bi Mkubwa kuruhusu Mikutano hata mwezi hujaisha yametimia.

“What you don't know, you just don't want to know”
Wanasahau kwamba secrets are very hard to keep. Tena wakati mwingine nyingine wanatoa wao kwa makusudi, kumaliza nguvu za mtu au kumdhalilisha.
 
Alitakiwa ku tune accordingly na ikibidi kuwa chawa kabisa wa Rais sio kujifanya unaficha wakati sio wote walikuwa wanakubaliana na hayo Mambo ya kishenzi huko ndani..

In fact Bora na Diwani Ila Kipilimba yule alitakiwa kuwa jela saizi.
kuwa chawa ghafla yataka moyo mkuu kama hujazoea toka primary.
 
Mbona unaumwa kidole unameza dawa inaingia tumbuni then inaenda kutibu kidole, unaumwa kichwa unameza dawa inaingia tumboni lkn itaenda kutibu ubongo.

Hujui dawa za maumivu zinavyofanya kazi ndiomaana umeandika comment kama hii, hivyo siwezi kukulaumu.

Unaumwa kidole kisha ukameza dawa ya maumivu ile dawa haiendi kwenye kidole pekeake, kinachofanyika ni kuzi-cease(sijui lugha sahihi hapo) nerves ambazo zinahusika na kutoa taarifa za maumivu kwenye ubongo, kwakua sehemu inayouma pekee ni kidole maumivu yale yatapungua.

Sasa huwezi kusema leo Athman Diwani, apewe dawa kisha ziende kwenye ubongo ili zikafute kumbukumbu zote zinazohusu kazi yake bila kuathiri kumbukumbu zake nyingine za maisha yake.
 
Usibeze.
Ni sayansi tu mkuu, 'Mac Alpho', ukishaijua hakuna linaloshindikana.

'Receptors' ndani ya ubongo zinazoshughulikia maswala husika zinachaguliwa na kushughulikiwa. Zisizohusika haziguswi.

Na kwa vile 'Artficial Intelligence' si jambo geni tena, maswala kama haya yatawezekana na zitakuwa siyo stori tena za vijiweni.

Hizo dawa anazozizungumzia hapo huyo jamaa , mkuu 'Puna', kama hadithi, zinakuwa 'designed' na program za komputa maalum kwa kazi hiyo ya kufuta 'receptors' husika na mambo ya kumbukumbu ya mambo fulani.

Haya yote niliyaelewa ndiomaana nikaja na hoja ya kupinga mkuu.

Huko kwenye ubongo kuna receptors zinazohusika na kumbukumbu in general, kwahiyo kama ni kuzigusa moja kwa moja ni lazima uharibu kumbukumbu zake in general.

Hakuna namna unaweza kuniambia dawa (vidonge), vitaenda kuharibu kumbukumbu zake zinazohusu kazi yake (aliyostafishwa) bila kuathiri kumbukumbu zake nyingine.

NB: Hatuwezi kufuta memory yake kuhusu kazi zake selectively bila kuathiri nyinginezo, labda kama tunazungumzia kuutia dhoruba kidogo sana mfumo wake wa kumbukumbu(wote kwa ujumla) ili akose mpangilio maalumu kila akijaribu kufikiri. Na madhara yake ni lazima yaonekane tu.
 
Wale ni watu kama sisi na ni wambea pia, acha kuwa kuza binafsi nawajua wengi tu na nivizibo tu, bia mbili tu yupo uchi
Hehe! Sio TISS hao wanakudanganya... TISS hawana njaa za hovyo wala si rahisi kulaghaiwa na kina mwenzangu na mimi. Yeah! Ni watu kama wewe lakini sio kama wewe hayo mawazo ya hovyo ondoa! Na ni wambea sawa ila ni wambea wenye kushughulika na umbea wenye tija na manufaa kwa kunusuru maslahi ya taifa kwa ujumla. Mpaka umekaa hapo kwenye kochi la mtumba na unaharisha tu maneno ya kashfa kumbuka kuna wanaume hawana huo muda hata wa kuzungumza na ndugu na vipenzi vyao ili wewe ule mema ya nchi na utafute rizq yako kwa amani... unakuja kuwakashifu.. dahh! Bin-Adam bana 😊😊☻
 
Alitakiwa ku tune accordingly na ikibidi kuwa chawa kabisa wa Rais sio kujifanya unaficha wakati sio wote walikuwa wanakubaliana na hayo Mambo ya kishenzi huko ndani..

In fact Bora na Diwani Ila Kipilimba yule alitakiwa kuwa jela saizi.
Unaandika kama vile unawafahamu Sana hao jamaa...
 
Shetani hana rafiki , vijana jifunzeni mambo haya
Usiamini kila unalo soma mitandaoni.
Hawawezi kuthubutu kum-treat namna hiyo itavunja moyo na kuondoa utiifu kwa mamlaka kwa wale wanaobaki kutumikia mfumo/mamlaka.
Wataona kumbe hata mimi nikitekeleza wajibu wangu kwa kulinda kiapo cha utiifu kwa mamlaka nitaishia kutendewa ubaya namna hii.
 
Usiamini kila unalosoma mitandaoni.
Hawawezi kuthubutu kum-treat namna hiyo itavunja moyo na kuondoa utiifu kwa mamlaka kwa wale wanaobaki kutumiakia mfumo/mamlaka.
Wataona kumbe hata mimi nikitekeleza wajibu wangu kwa kulinda kiapo cha utiifu kwa mamlaka nitaishia kutendewa ubaya namna hii.
ndo maana wengi huishia kuwa against serikali zao maana cheo kitamu sana asieee... yani leo diwani hana pa kwendaa hana wa kumpa amrii he is out of the system.
 
Hehe! Sio TISS hao wanakudanganya... TISS hawana njaa za hovyo wala si rahisi kulaghaiwa na kina mwenzangu na mimi. Yeah! Ni watu kama wewe lakini sio kama wewe hayo mawazo ya hovyo ondoa! Na ni wambea sawa ila ni wambea wenye kushughulika na umbea wenye tija na manufaa kwa kunusuru maslahi ya taifa kwa ujumla. Mpaka umekaa hapo kwenye kochi la mtumba na unaharisha tu maneno ya kashfa kumbuka kuna wanaume hawana huo muda hata wa kuzungumza na ndugu na vipenzi vyao ili wewe ule mema ya nchi na utafute rizq yako kwa amani... unakuja kuwakashifu.. dahh! Bin-Adam bana [emoji4][emoji4]☻
Acha kudanganya watu na story zako za kuhadithiwa.
Unadhani wangekuwa kama hivyo usemavyo na wanatenda kama hivyo usemavyo haya mauchafu/hujuma yanayotendeka ndani ya taasisi za umma yangekuwepo? Hao wamebaki zaidi katika kusimamia maslahi ya CCM na watawala.


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu[emoji120][emoji120]
Hii ndiyo changamoto mojawapo ya usalama wa nchi kugeuka kuwa usalama wa 'regime'. Tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi kila kiongozi anayeshika madaraka anavyofanyia vyombo vya ulinzi na usalama mageuzi kwa mapenzi yake tu! Raia wamepotezwa ikiwa ni pamoja na kuondolewa uhai ili tu kulinda udhaifu wa wanasiasa walioshika madaraka. Vyombo hivi vinahitaji kuwa vya kikatiba zaidi kuliko kuwa vya kisiasa. Katiba bora ndiyo usalama wa kila raia, kila taasisi ya umma na kila kitu.
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
Watu wanashindwa kuelewa kuwa kuna misemo ilifanyiwa research na kuonekana ina ukweli 100%....eg:
...what goes around comes around,
...What u don't wish to be done on u don't do it to others for karma is really existing.
Diwani isn't exceptional.
 
Back
Top Bottom