Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Mkuu weka caption ya maana, hao mabosi watatuNi huzuni kwa kweliView attachment 2469994
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu weka caption ya maana, hao mabosi watatuNi huzuni kwa kweliView attachment 2469994
Trending video ya Gwajboy akisema BashiteNa mbaya zaidi wanaoambiwa wakushughulikie ni wale wale uliokuwa ukiwaambia wawashughulikie wengine. Maisha yana mzunguko wa ajabu sana.
HUYU NI ZAO LA mwendazakeInadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu[emoji120][emoji120]
Wanasahau kwamba secrets are very hard to keep. Tena wakati mwingine nyingine wanatoa wao kwa makusudi, kumaliza nguvu za mtu au kumdhalilisha.Are you formatted, au umeamua kutafuta spying angle kutaka kujua kama watu wanajua aua hawajui ya “corridor”
Miaka kadhaa nyuma habari za “WHITE CORRIDORs” zilikuwa ziko exposed kiasi kwamba raia wakapata dada wa taifa na kigogo wa taifa, tetesi za mwendazake kutuacha zilianzia humu though viongozi kadhaa walikanusha ila ukweli ulisimama na jiwe likadondoka tetesi ikawa ukweli,
Afya ya Head of State ni very sensitive issue lakini ilikuwa exposed humu since day one yuko Makumbusho hadi anapewa referral kwenda nje ya nchi raia walikuwa updated humu humu “JF” unataka kusema nini kingine mkuu?
Recently, mtu kalete uzi kuhusu Diwani Kutolewa na Bi Mkubwa kuruhusu Mikutano hata mwezi hujaisha yametimia.
“What you don't know, you just don't want to know”
naamini maneno yako 100%. Jamaa awe mpole tu kama anataka kumalizia maisha yake kwa amani.Ashughulikiwe..Ukishakuwa huna cheo wewe Ni sawa na dekio tuu
kuwa chawa ghafla yataka moyo mkuu kama hujazoea toka primary.Alitakiwa ku tune accordingly na ikibidi kuwa chawa kabisa wa Rais sio kujifanya unaficha wakati sio wote walikuwa wanakubaliana na hayo Mambo ya kishenzi huko ndani..
In fact Bora na Diwani Ila Kipilimba yule alitakiwa kuwa jela saizi.
Mbona unaumwa kidole unameza dawa inaingia tumbuni then inaenda kutibu kidole, unaumwa kichwa unameza dawa inaingia tumboni lkn itaenda kutibu ubongo.
Usibeze.
Ni sayansi tu mkuu, 'Mac Alpho', ukishaijua hakuna linaloshindikana.
'Receptors' ndani ya ubongo zinazoshughulikia maswala husika zinachaguliwa na kushughulikiwa. Zisizohusika haziguswi.
Na kwa vile 'Artficial Intelligence' si jambo geni tena, maswala kama haya yatawezekana na zitakuwa siyo stori tena za vijiweni.
Hizo dawa anazozizungumzia hapo huyo jamaa , mkuu 'Puna', kama hadithi, zinakuwa 'designed' na program za komputa maalum kwa kazi hiyo ya kufuta 'receptors' husika na mambo ya kumbukumbu ya mambo fulani.
Hehe! Sio TISS hao wanakudanganya... TISS hawana njaa za hovyo wala si rahisi kulaghaiwa na kina mwenzangu na mimi. Yeah! Ni watu kama wewe lakini sio kama wewe hayo mawazo ya hovyo ondoa! Na ni wambea sawa ila ni wambea wenye kushughulika na umbea wenye tija na manufaa kwa kunusuru maslahi ya taifa kwa ujumla. Mpaka umekaa hapo kwenye kochi la mtumba na unaharisha tu maneno ya kashfa kumbuka kuna wanaume hawana huo muda hata wa kuzungumza na ndugu na vipenzi vyao ili wewe ule mema ya nchi na utafute rizq yako kwa amani... unakuja kuwakashifu.. dahh! Bin-Adam bana 😊😊☻Wale ni watu kama sisi na ni wambea pia, acha kuwa kuza binafsi nawajua wengi tu na nivizibo tu, bia mbili tu yupo uchi
cha ubishi wa watoto darasa la nne B
Unaandika kama vile unawafahamu Sana hao jamaa...Alitakiwa ku tune accordingly na ikibidi kuwa chawa kabisa wa Rais sio kujifanya unaficha wakati sio wote walikuwa wanakubaliana na hayo Mambo ya kishenzi huko ndani..
In fact Bora na Diwani Ila Kipilimba yule alitakiwa kuwa jela saizi.
Usiamini kila unalo soma mitandaoni.Shetani hana rafiki , vijana jifunzeni mambo haya
ndo maana wengi huishia kuwa against serikali zao maana cheo kitamu sana asieee... yani leo diwani hana pa kwendaa hana wa kumpa amrii he is out of the system.Usiamini kila unalosoma mitandaoni.
Hawawezi kuthubutu kum-treat namna hiyo itavunja moyo na kuondoa utiifu kwa mamlaka kwa wale wanaobaki kutumiakia mfumo/mamlaka.
Wataona kumbe hata mimi nikitekeleza wajibu wangu kwa kulinda kiapo cha utiifu kwa mamlaka nitaishia kutendewa ubaya namna hii.
Acha kudanganya watu na story zako za kuhadithiwa.Hehe! Sio TISS hao wanakudanganya... TISS hawana njaa za hovyo wala si rahisi kulaghaiwa na kina mwenzangu na mimi. Yeah! Ni watu kama wewe lakini sio kama wewe hayo mawazo ya hovyo ondoa! Na ni wambea sawa ila ni wambea wenye kushughulika na umbea wenye tija na manufaa kwa kunusuru maslahi ya taifa kwa ujumla. Mpaka umekaa hapo kwenye kochi la mtumba na unaharisha tu maneno ya kashfa kumbuka kuna wanaume hawana huo muda hata wa kuzungumza na ndugu na vipenzi vyao ili wewe ule mema ya nchi na utafute rizq yako kwa amani... unakuja kuwakashifu.. dahh! Bin-Adam bana [emoji4][emoji4]☻
Hii ndiyo changamoto mojawapo ya usalama wa nchi kugeuka kuwa usalama wa 'regime'. Tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi kila kiongozi anayeshika madaraka anavyofanyia vyombo vya ulinzi na usalama mageuzi kwa mapenzi yake tu! Raia wamepotezwa ikiwa ni pamoja na kuondolewa uhai ili tu kulinda udhaifu wa wanasiasa walioshika madaraka. Vyombo hivi vinahitaji kuwa vya kikatiba zaidi kuliko kuwa vya kisiasa. Katiba bora ndiyo usalama wa kila raia, kila taasisi ya umma na kila kitu.Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu[emoji120][emoji120]
😂😂😂Wataalam wa picha watasema hivi,wote wamevaa suti za dark blue,wote wamekunyata mikono yao,wote Wana huzuni ,wote Wana miwani.hapo jibu kamili Ni ¥£π√¢^^¢°%°°€{€√¢{{°^¢°✓€=¢××£√¢√^¢×€π^|π¢×100%Ni huzuni kwa kweliView attachment 2469994
Watu wanashindwa kuelewa kuwa kuna misemo ilifanyiwa research na kuonekana ina ukweli 100%....eg:Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
Mungu IBARIKI NCHI yetu TANZANIA tuipendayo Sana!