Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
We jamaa akili iko vipi?! Uko timamu kweli?! Soma tena nilichokiandika utaelewa. Labda nirudie huenda nabishana na mtu ambaye hakwenda shule au kama alienda ndo wale wasomi hewa au wale ambao elimu zao hazikuwasaidia.Kwahiyo hata wale wale wakurugenzi wa idara ndani ya tiss wanaofahamika na kila mtu ama na wenza wao ni siri hakuna mwanafamilia anayewajua wanafanya kazi gani?
Wale wanaotembea kwenye msafara wa Rais ambao wanafahamika unataka kusema kwamba familia zao haziwafahamu kazi wanazozifanya?
Tatizo lako umewafanya hao watu kama malaika wakati tunaishi nao mtaani na ni washkaji zetu.
Ama mpaka utajiwe fulani ni mshkaji wangu na yupo idarani ndo uamini?
"KUNA LEVELS TISS UKIFIKA UTAJULIKANA TU!... KAMA WANAOKAA NYUMA YA RAIS NA KWENYE MISAFARA, AU WAKURUGENZI NA WAKUBWA WENGINE!... NA MPAKA KUFIKIA LEVEL ZILE BASI UJUE KASHAFUATILIWA SANA NA WAMEMUAMINI!"
Hao vidampa wengine wanaojikweza kuwadanganya mazwazwa wa aina yako sio TISS ni watu wasiojielewa. Na TISS au idara yoyote ya usalama wa taifa duniani apart from TZ sio kitu/idara ya mchezo mchezo.