Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Kwahiyo hata wale wale wakurugenzi wa idara ndani ya tiss wanaofahamika na kila mtu ama na wenza wao ni siri hakuna mwanafamilia anayewajua wanafanya kazi gani?

Wale wanaotembea kwenye msafara wa Rais ambao wanafahamika unataka kusema kwamba familia zao haziwafahamu kazi wanazozifanya?

Tatizo lako umewafanya hao watu kama malaika wakati tunaishi nao mtaani na ni washkaji zetu.

Ama mpaka utajiwe fulani ni mshkaji wangu na yupo idarani ndo uamini?
We jamaa akili iko vipi?! Uko timamu kweli?! Soma tena nilichokiandika utaelewa. Labda nirudie huenda nabishana na mtu ambaye hakwenda shule au kama alienda ndo wale wasomi hewa au wale ambao elimu zao hazikuwasaidia.

"KUNA LEVELS TISS UKIFIKA UTAJULIKANA TU!... KAMA WANAOKAA NYUMA YA RAIS NA KWENYE MISAFARA, AU WAKURUGENZI NA WAKUBWA WENGINE!... NA MPAKA KUFIKIA LEVEL ZILE BASI UJUE KASHAFUATILIWA SANA NA WAMEMUAMINI!"

Hao vidampa wengine wanaojikweza kuwadanganya mazwazwa wa aina yako sio TISS ni watu wasiojielewa. Na TISS au idara yoyote ya usalama wa taifa duniani apart from TZ sio kitu/idara ya mchezo mchezo.
 
Katiba mpya ni sasa katiba mpya ni sasa hii yote ni kuwa rais anakuwa Mungu Mtu yaani anamamlaka makubwa sana akitaka hata kuiuza nchi inawezekana na hakuna cha kumfanya maana katiba ya leo inamlinda na kumpa mamlaka makubwa hashitakiwi kwa anayoyafanya akiwa madarakani kwaiyo siku tukipata rais kichaa atatuburuza atakavyo mpaka akili za katiba mpya zitukae sawa
Hiyo unayemsema si tulishampata ndiomana unasikia kelele za Katiba mpya sasa mkuu?
 
We jamaa akili iko vipi?! Uko timamu kweli?! Soma tena nilichokiandika utaelewa. Labda nirudie huenda nabishana na mtu ambaye hakwenda shule au kama alienda ndo wale wasomi hewa au wale ambao elimu zao hazikuwasaidia.

"KUNA LEVELS TISS UKIFIKA UTAJULIKANA TU!... KAMA WANAOKAA NYUMA YA RAIS NA KWENYE MISAFARA, AU WAKURUGENZI NA WAKUBWA WENGINE!... NA MPAKA KUFIKIA LEVEL ZILE BASI UJUE KASHAFUATILIWA SANA NA WAMEMUAMINI!"

Hao vidampa wengine wanaojikweza kuwadanganya mazwazwa wa aina yako sio TISS ni watu wasiojielewa. Na TISS au idara yoyote ya usalama wa taifa duniani apart from TZ sio kitu/idara ya mchezo mchezo.
Huna akili! Kuna watu wanajulikana kabisa kwamba huyu ni mtu wa idara bila hata ya yeye kujisema

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Chunguza kwa makini ziara za Rais mikoani! Kabla hajafika utashangaa bar flan wamejaa waitress wakutosha tena wazuri mno, halafu Rais akitoka tu huo mkoa na wale mademu wanaacha kazi! Acha ujinga wewe utakuja kumezwa hivi hivi!

Hehehehe! Sasa hayo mawazo yako ya kumjua mtu wa usalama wa taifa ya yeye kujisema yanakudanganya. Na yeye atajisemaje?! Unajiona uko timamu kweli?! Na ndio maana nilikwambia mwanzo wale sio watu wajinga wajinga... unachohisi unakijua wewe kwenye 10% hata 1.5% haifiki na Usalama wa taifa katu huwezi kumjua! Mawazo yenu yanakudanganyeni!
 
Chunguza kwa makini ziara za Rais mikoani! Kabla hajafika utashangaa bar flan wamejaa waitress wakutosha tena wazuri mno, halafu Rais akitoka tu huo mkoa na wale mademu wanaacha kazi! Acha ujinga wewe utakuja kumezwa hivi hivi!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nimezwe na nani?! We unafkiri mimi ni mjinga mjinga wa sampuli yako?! We unaweza kuwa aged ila bure kabisa! Unavyoviongea hata havina maana na hata kama humu wapo wanasoma unayoyaandika wanajua tu we ni mtu wa design gani... kwahiyo waiter akiwa mpya akaacha kazi ndo usalama wa taifa huyo alikuwa?! We nani kakwambia mbinu za usalama wa taifa zinafahamikaga kirahisi namna hiyo?! 😃😃😃
 
Mada ya tiss,mada pendwa jf
Naona tiss tiss mwanzo mwenga
Humu

Ova
Mijitu inapenda kweli kuwajadili wale mabwana... sijui wanaonaga wanafaidi sana kule.. Pengine akili zao zinawatuma wajamaa wanakula mkate wenye blue-band na maziwa everyday! Mchana pilau ya mchele wa pishori usiku tambi za kuku na juice nzito na wanapewa mishahara bila kazi. Labda ndo akili za waswahili maana waafrika tuna wivu na fitna sana! Yapomambo tele ya kushughulika nayo ila wanaona hapana wafuatilie na hayo nyeti. Kuna kitu mnakitafuta 😃
 
Back
Top Bottom