Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Mijitu inapenda kweli kuwajadili wale mabwana... sijui wanaonaga wanafaidi sana kule.. Pengine akili zao zinawatuma wajamaa wanakula mkate wenye blue-band na maziwa everyday! Mchana pilau ya mchele wa pishori usiku tambi za kuku na juice nzito na wanapewa mishahara bila kazi. Labda ndo akili za waswahili maana waafrika tuna wivu na fitna sana! Yapomambo tele ya kushughulika nayo ila wanaona hapana wafuatilie na hayo nyeti. Kuna kitu mnakitafuta [emoji2]
Teh teh

Wadau wengi humu jf ahira ya utiss

Wanaupenda sana wanatamani wawe

Huko

Ova
 
Hehe! Sio TISS hao wanakudanganya... TISS hawana njaa za hovyo wala si rahisi kulaghaiwa na kina mwenzangu na mimi. Yeah! Ni watu kama wewe lakini sio kama wewe hayo mawazo ya hovyo ondoa! Na ni wambea sawa ila ni wambea wenye kushughulika na umbea wenye tija na manufaa kwa kunusuru maslahi ya taifa kwa ujumla. Mpaka umekaa hapo kwenye kochi la mtumba na unaharisha tu maneno ya kashfa kumbuka kuna wanaume hawana huo muda hata wa kuzungumza na ndugu na vipenzi vyao ili wewe ule mema ya nchi na utafute rizq yako kwa amani... unakuja kuwakashifu.. dahh! Bin-Adam bana [emoji4][emoji4]☻
Kwani si wanalipwa kwa kodi zetu?
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu[emoji120][emoji120]
Nimemkumbuka Pascal Mayala na mada yaake ya Karma, hakika hii Dunia hadaa

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
Aliumiza nani?, Mbona mnapenda kumuonea sana huyo jamaa?,, Huyo ni mmoja wa watu waadilifu
 
Usilolijua ni usiku wa giza.
Kinachofanya kazi sio mtu ni mfumo/anaouongoza. Ukishamtoa kwenye jukumu hilo hakuna haja ya kuhangaika naye kwasababu mtu kama mtu hawezi kuwa threat. Labda kama anamiliki mfumo nje ya mfumo ambayo ni treason na adhabu yake ni .... wala sio kumuweka huko.
Uzushi sio dili.
 
Nyie watu ni wajinga sana

Kuna mjinga km wewe alizusha ndugai amethibitiwa baada ya kuvuliwa uspika na wajinga wakaamini
Wazushi!
Ndugai hana uwezo wa kupindua hata uongozi wa kikoba .... wa kazi gani??!
 
Back
Top Bottom