kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,470
- 1,352
a.k.a Kiboga ππππAombe Mungu tu asije kuombwa Tigo pesa kama Moπππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
a.k.a Kiboga ππππAombe Mungu tu asije kuombwa Tigo pesa kama Moπππ
[emoji102] pa [emoji500]Kwa wataalam wa maswala ya usalama wa taifa, hivo wamfanyiavyo ndo inavotakiwa? Yawezekana kweli wakawa wametumwa na mama? Hata kwa nchi za ughaibuni mtu akitoka kweny uongozi wa usalama hufanyiwa hivo?
Ayaa tena..? [emoji1783][emoji1783]Ben alipelekwa hadi kwa mkuru akalimwa chuma ikulu....
Raia mkakamavuMkuu mbona unaita watu raia, kwani ww ni askari?
Kwahiyo ni askari polisi, maana hao ndio raia wakakamavu.Raia mkakamavu
Duuuuu,Bosi anakuwa dekio ghaflaNasikia alimtambia mbowe kwamba watamfanyia kama walivyomtenda bwana Ben Saa 1 mbowe juzi ndio kamchongea bwana Diwani kwa mama
Alichukuliwa gari,na gari zake private hazikuwepo,dereva akaondoka na gari akajikuta yuko lockdown,huku mawasiliano ya kumdhiboti yakiendelea,alibidi awe RoyalNyie watu ni wajinga sana
Kuna mjinga km wewe alizusha ndugai amethibitiwa baada ya kuvuliwa uspika na wajinga wakaamini
Mkuu ficha ujinga wako Tiss ni watu kama weweYaan wanapenda kweli kuona yale mambo ni ya mchezo mchezo wajinga hawa... haya shauri yenu β»πππ
Tabia "Yao" moja wapo ni paranoia!!Hasa kwa watu wastaarabu na wasomi
TetesiInadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetuππ
Jamani mi naona, Mama anaunda Serekali yake anayo taka yeye Kama Mkuu wa Nchi,Kama hakutaki kaa pembeni ili amuweke anae mtaka afanye nae kazi!!!Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu[emoji120][emoji120]
Dogo acha kuangalia sana movies zinakuharibuKwani tatizo ni lipi mkuu 'Mac Alpho', "vidonge" ni 'metaphor', tu. Kama hutaki hilo neno "vidonge", basi tumia neno "targeted drug delivery", kwenye eneo husika panapotakiwa hiyo dawa ipafanyie kazi.
Kwa hiyo, katika mfano huu, mtu anaweza akameza vidonge ambavyo vimebeba dawa mahususi inayokwenda kuzizaba 'receptors' maalum ndani ya ubongo zinazojishughulisha na maswala ya kumbukumbu za mambo fulani yanayomhusu mhusika.
Au kama hupendelei njia hiyo ya vidonge, basi, tutaiwasilisha hiyo dawa karibu kabisa na mahali pake pa kufanyia kazi, ndani ya ubongo wenyewe, kwa njia mbalimbali, badala ya vidonge.