Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Mzee ninasema; kwenye pumba nyingi za mahindi au mpunga hukosi punje iliyo kamili. Ni bidii tu ya kuchambua.
 
Nyie watu ni wajinga sana

Kuna mjinga km wewe alizusha ndugai amethibitiwa baada ya kuvuliwa uspika na wajinga wakaamini
Alichukuliwa gari,na gari zake private hazikuwepo,dereva akaondoka na gari akajikuta yuko lockdown,huku mawasiliano ya kumdhiboti yakiendelea,alibidi awe Royal
 
Haya matusi ni makubwa sana na sio mazuli.
Hasa kwa watu wastaarabu na wasomi
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetuπŸ™πŸ™
Tetesi
 
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.

Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.

Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu[emoji120][emoji120]
Jamani mi naona, Mama anaunda Serekali yake anayo taka yeye Kama Mkuu wa Nchi,Kama hakutaki kaa pembeni ili amuweke anae mtaka afanye nae kazi!!!
 
Kwani tatizo ni lipi mkuu 'Mac Alpho', "vidonge" ni 'metaphor', tu. Kama hutaki hilo neno "vidonge", basi tumia neno "targeted drug delivery", kwenye eneo husika panapotakiwa hiyo dawa ipafanyie kazi.

Kwa hiyo, katika mfano huu, mtu anaweza akameza vidonge ambavyo vimebeba dawa mahususi inayokwenda kuzizaba 'receptors' maalum ndani ya ubongo zinazojishughulisha na maswala ya kumbukumbu za mambo fulani yanayomhusu mhusika.

Au kama hupendelei njia hiyo ya vidonge, basi, tutaiwasilisha hiyo dawa karibu kabisa na mahali pake pa kufanyia kazi, ndani ya ubongo wenyewe, kwa njia mbalimbali, badala ya vidonge.
Dogo acha kuangalia sana movies zinakuharibu
 
Wee unafikiri uliekuwa unampelekesha akaja kuwa boss wako ghafla. utafutarahia ?
Hata kama ni mimi na rara mbare[emoji38]
 
Back
Top Bottom