Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

huu uzi nimegundua umeanzishwa kwasababu flani. economist na zerominus10 wanalengo lao. nje ya miujiza mnabifu lenu na mwamposa.
 
Yale mafuta hadi machangudoa wanayatumia kwenye kudanga, wanadai yanawapa kismati. Kuna muujiza wa Mungu kweli hapo au genge la waliovurugwa na maisha?

Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
Mbona mnaoteseka na kuumia ni nyie wakereketwa ambao hamjatoa hata mia yenu kwenda pale
 
Mwanga tu kama wanga wengine japo nna miliki maji na mafuta hapa ila simuhusishi yesu namtambua kama mganga mwamposa
 
Back
Top Bottom