Hilo ndio tatizo la kutokuwa na UHUSIANO mzuri na muumba wako. Yeye ni baba yako. Sasa unapoenda Kwa ndugu yako ili aende kumwambia baba yako mahitaji yako jiulize UHUSIANO wako na baba yako kama uko sawa. Huu utapeli wa kuombewa huuuu!!!! Yesu ameshasema MKIKAA KATIKA PENDO LANGU, OMBENI LOLOTE MTAKALO MTAPEWA. Hayo mengine ni usanii mtupu. There isn't a biblical foundation either. Utapeli tuMikoa mingi kuna vituo,hata kama ungekuwa wewe mtu anafunga safari kutoka Tanga kufuata mafuta tu? Hungefikiria kurahisisha huduma?
Najua kwa Mwamposa huendi ila kwa waganga wenu wa kienyeji unaenda.Tatizo sijui nini kwako au wivu?
Suala la biashara linakuja automatically kwa sababu sio hapa Tanzania tu dunia kwenye dini kuna hela ujue hivyo.Hata wachungaji na watumishi wengi wa dini za kikristo wana hela na milionea wakubwa
Shida sio wao kuwa mailionea kama tatizo lililokupeleka limeisha
Watu wanatoa mamilioni kama sadaka ya shukrani baada ya matatizo yao kuishi. Vitu vya kufeki havikai muda,jaribu kuangalia Mwamposa toka aanze kutoa huduma miaka mingap imepita?