kitowowoti
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 756
- 510
Kweli Mr,unajua hata mahali Fulani Kristu mwenyewe alikataa kufanyia miujuza kwa Mafarisayo,wengine kwa Imani wanaomba uponyaji na utatuzi.ila wengine wanahitaji mazingaumbwe ambayo kwa Yesu hayapo.Mimi binafsi imenitokea muujiza wakati naangalia tv yake tena nilitumia maji ya kununua dukani ,cha msingi imani yako itakuponya