Kama huna hela kausha, sisi tutachangaMwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Wachangie Mafi... di wenzio wapale kijaniMwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Kwani ameandika barua kuomba kuchangiwa? acha wanachama wake wamchangieMwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
True, mbona aliponyang'anywa mashamba yake hakuchangiwa?Tofautisha Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA. Kesi inamuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA siyo Freeman Mbowe (kama unao uelewa wa sheria utakuwa umeelewa).
Amekutwa na madhira yale akiwa katika majukumu ya CHAMA na siyo majukumu binafsi ya Freeman Mbowe. Kwa unini huoni tija ya CHADEMA kugharamia kesi kwake na wenzake!
Weka chuki kando...
KabisaMfumo walioweks tu ni mgumu. Siku wakiweka hii mitandao yetu watapsta fedha nyingi sana. Jamaa kapewau.aarufu mkubwa sana na huruma
Kama kawa umerudi tenaMwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Aliye nacho ataongezewaMwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Kwa hiyo augawie na huyo kidogo?Kama kawa umerudi tena
Mwenye nacho huongezewa. Hayo ni mapenzi ya wampendao wewe kufa na wivu wako masikini wa mwili na roho πππππππ.Mwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Baelezee hao BAVICHA...Si tulikubaliana kuwa akishikwa mwanachama yeyote hatutamtolea dhamana wala kupeleka mawakili wa utetezi sasa mbona mambo yamebadilika baada ya kushikwa Mbowe?
Akili huna, amekamatwa akiwa kwenye harakati za kichama, wewe kaibe hata kuku uone kama chama chako kitakusidiaMwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Take huu mfano. Check rasilimali tulizonazo nchi hii.. halaf mikopo na misaada daily? Inamaanisha tanzania ni ya kuomba msaada?Mwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Na ndiye signatory wa akaunti zote za chama.Tofautisha Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA. Kesi inamuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA siyo Freeman Mbowe (kama unao uelewa wa sheria utakuwa umeelewa).