Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 982
- 1,179
Wakuu,
Hebu achaneni kwanza na wasemao huwezi kujikwamua kwenye ajira, maana hayo ni maneno ya Motivation speakers tu. Hii ni kwasababu kazini kukiwa na maslahi mazuri, obvious utakuwa na ahueni kiuchumi.
Sasa turudi kwenye mada: Kama kichwa cha thread kinavyosema, hiyo ndo hali halisi huko Makazini kwa hapa AFRIKA. Iwe kwenye ajira sekta BINAFSI au Serikalini huo ndo uhalisia wenyewe.
Hii inamanisha kuwa maslahi kwenye ajira zetu ni duni ndio maana waadilifu wanakuwa na hali duni kiuchumi.
Ningekuwa na nafasi ya kufanya maamuzi katika nchi hii ningefanya nini?
Ningehakikisha wafanyakazi wote walio waadilifu na wachapakazi wanapata maslahi mazuri mara 5 zaidi ya wale wengine. Hii ingesaidia pia kurejesha uadilifu kwenye sekta ya ajira kwa haraka zaidi.
Thread inaishia hapa.