INAFIKIRISHA: Ukiwa Muadilifu, Mchapakazi na Muungwana kazini unakuwa fukara; Ukiwa Mjanja mjanja, Mvivu na Mpiga madili unakuwa na ahueni Kiuchumi

INAFIKIRISHA: Ukiwa Muadilifu, Mchapakazi na Muungwana kazini unakuwa fukara; Ukiwa Mjanja mjanja, Mvivu na Mpiga madili unakuwa na ahueni Kiuchumi

Mkuu, umenena. Ila unaonaje tukiwakazania Waajiri ili wabadilike na kuwajali wafanyakazi waadilifu zaidi?
Ni ngumu sana ,maana hao wasiojituma wanajituma kwenye umbea na kunafkia wanaojituma,nime experience sana hii mimi nashauri kama mtu anajiweza kidogo ajitegemee tu
 
TZ wanaotoboa ni wezi, mafisadi, matapeli na machawa, Tena waadililifu hawapendwi aisee, yaan n shida. Tatizo linaanzia uongoz wa juu.
 
Back
Top Bottom