The-unknown JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 1,228 Reaction score 1,447 Oct 3, 2024 #21 Heart Wood. said: Mkuu, umenena. Ila unaonaje tukiwakazania Waajiri ili wabadilike na kuwajali wafanyakazi waadilifu zaidi? Click to expand... Ni ngumu sana ,maana hao wasiojituma wanajituma kwenye umbea na kunafkia wanaojituma,nime experience sana hii mimi nashauri kama mtu anajiweza kidogo ajitegemee tu
Heart Wood. said: Mkuu, umenena. Ila unaonaje tukiwakazania Waajiri ili wabadilike na kuwajali wafanyakazi waadilifu zaidi? Click to expand... Ni ngumu sana ,maana hao wasiojituma wanajituma kwenye umbea na kunafkia wanaojituma,nime experience sana hii mimi nashauri kama mtu anajiweza kidogo ajitegemee tu
maujanja supplier Senior Member Joined Aug 8, 2012 Posts 103 Reaction score 115 Oct 3, 2024 #22 TZ wanaotoboa ni wezi, mafisadi, matapeli na machawa, Tena waadililifu hawapendwi aisee, yaan n shida. Tatizo linaanzia uongoz wa juu.
TZ wanaotoboa ni wezi, mafisadi, matapeli na machawa, Tena waadililifu hawapendwi aisee, yaan n shida. Tatizo linaanzia uongoz wa juu.