Tetesi: Inahisiwa China imemtengenezea tetemeko Taiwan hali mbaya

Tetesi: Inahisiwa China imemtengenezea tetemeko Taiwan hali mbaya

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
20220918_141801.jpg

Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari.

Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan!

Inasemekana lakini.
 
View attachment 2360622

Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari.

Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan!

Inasemekana lakini.
Hakuna kitu kama hicho propaganda tuu.eneo la Taiwan na Japan lipo kwenye mkanda wa tetemeko ,kuna kisiwa kimoja cha japani wameambiwa wahame maana kuna dalili ya tetemeko kubwa.hizo habar China kutengeneza tetemeko ni uzushi na za kupuuza
 
Mchina apeleke tetemeko Taiwan kwan hajipendi?

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu inaonyesha huko nyuma sana kwenye haya mambo, kwamba amna matetemeko ya kutengenezwa.
Kama ni kweli Wachina walitengeneza mwezi wao basi na tetemeko wanaweza, kama ni kamba bila shaka na tetemeko ni uongo mweupe wa mchana.
 
Kwa wale wanaoielewa great reset haya mambo hayata mshangaza........ndo maana hizi pande 2 zinazoshindana kwa sasa zote zinaongelea new world order.........wale wanaominya haki na ukweli wa huu ulimwengu wanaenda kutandikwa vibaya sana sio na binadamu tu hadi na nguvu za asili....na hapa ishu sio mmarekani, mchina wala mrusi ....ambae hataki kucheza fair atapata majibu yake fasta(karma).........

.....huu mziki upo kama kwa miaka 5 hadi 7 hivi inayokuja kwa wengine hadi 2030 hapo
 
Back
Top Bottom