MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na wanawake wenye hizi sifa lakini ilikuwa ngumu kudumu kwa sababu yeye kuwa chini yako kwa 100% haiwezekani. Kunakuwa na conditions za hapa na pale tofauti na wanawake wengine.
Changamoto inakuwa kubwa umkute ana 30+ huku akimiliki masters degree naa mshahara mnono toka kwenye taasisi zinazolipa vizuri. Kivyovyote vile inabidi wewe ndo u-fit kwenye mfumo wake. Ukiwa chini sana kiuchumi risk ya kupoteza cheo cha kichwa cha familia inakuwa kubwa zaidi. Akiwa na kiongozi wa kiroho anayemwita Daddy basi WAFWA.
Pamoja na yote bado kuna wanaume hupenda wanawake wa aina hii kwa sababu ya kunufaika kimaslahi.