MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #21
Madam kwema?Its true
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madam kwema?Its true
Kwema bossMadam kwema?
Napenda sana ID yakoKwema boss
Si mnapenda waliosoma na kazi mkiamini watawapiga Jerk mambo ya kikwama?Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na wanawake wenye hizi sifa lakini ilikuwa ngumu kudumu kwa sababu yeye kuwa chini yako kwa 100% haiwezekani. Kunakuwa na conditions za hapa na pale tofauti na wanawake wengine.
Changamoto inakuwa kubwa umkute ana 30+ huku akimiliki masters degree naa mshahara mnono toka kwenye taasisi zinazolipa vizuri. Kivyovyote vile inabidi wewe ndo u-fit kwenye mfumo wake. Ukiwa chini sana kiuchumi risk ya kupoteza cheo cha kichwa cha familia inakuwa kubwa zaidi. Akiwa na kiongozi wa kiroho anayemwita Daddy basi WAFWA.
Pamoja na yote bado kuna wanaume hupenda wanawake wa aina hii kwa sababu ya kunufaika kimaslahi.
Hata Wema Diamond alimshindwa kama Sababu ni Hela Mondi ni Bilionea.Ku deal na mwanamke mzuri au maarufu aisee🙌🙌🙌🙌
Nampendaga Byesige alivyo💪zile hustle zake mimi hoiNapenda sana ID yako
Mwanamke kuwa na elimu na fedha hakumuondolei asili yake ya kike, tatizo ni mwanaume kutojiamini,,,,mwanamke anahitaji kuoneshwa UPENDO, KUSIFIWA, KUMJALI, NA USALAMA mwanaume hahitaji fedha kwenye hayo mambo manne..Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na wanawake wenye hizi sifa lakini ilikuwa ngumu kudumu kwa sababu yeye kuwa chini yako kwa 100% haiwezekani. Kunakuwa na conditions za hapa na pale tofauti na wanawake wengine.
Changamoto inakuwa kubwa umkute ana 30+ huku akimiliki masters degree naa mshahara mnono toka kwenye taasisi zinazolipa vizuri. Kivyovyote vile inabidi wewe ndo u-fit kwenye mfumo wake. Ukiwa chini sana kiuchumi risk ya kupoteza cheo cha kichwa cha familia inakuwa kubwa zaidi. Akiwa na kiongozi wa kiroho anayemwita Daddy basi WAFWA.
Pamoja na yote bado kuna wanaume hupenda wanawake wa aina hii kwa sababu ya kunufaika kimaslahi.
Kwa usalama wa mahusiano/ndoa settle na mwanamke ambae umemzidi kila kitu kwa mbali sana. It's not inferiority complex, it wisdomWakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na wanawake wenye hizi sifa lakini ilikuwa ngumu kudumu kwa sababu yeye kuwa chini yako kwa 100% haiwezekani. Kunakuwa na conditions za hapa na pale tofauti na wanawake wengine.
Changamoto inakuwa kubwa umkute ana 30+ huku akimiliki masters degree naa mshahara mnono toka kwenye taasisi zinazolipa vizuri. Kivyovyote vile inabidi wewe ndo u-fit kwenye mfumo wake. Ukiwa chini sana kiuchumi risk ya kupoteza cheo cha kichwa cha familia inakuwa kubwa zaidi. Akiwa na kiongozi wa kiroho anayemwita Daddy basi WAFWA.
Pamoja na yote bado kuna wanaume hupenda wanawake wa aina hii kwa sababu ya kunufaika kimaslahi.
Mapigo ya kizamani sana hayaMwanamke kuwa na elimu na fedha hakumuondolei asili yake ya kike, tatizo ni mwanaume kutojiamini,,,,mwanamke anahitaji kuoneshwa UPENDO, KUSIFIWA, KUMJALI, NA USALAMA mwanaume hahitaji fedha kwenye hayo mambo manne..
Hujawahi kuniangusha ManKwa usalama wa mahusiano/ndoa settle na mwanamke ambae umemzidi kila kitu kwa mbali sana. It's not inferiority complex, it wisdom
Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na wanawake wenye hizi sifa lakini ilikuwa ngumu kudumu kwa sababu yeye kuwa chini yako kwa 100% haiwezekani. Kunakuwa na conditions za hapa na pale tofauti na wanawake wengine.
Changamoto inakuwa kubwa umkute ana 30+ huku akimiliki masters degree naa mshahara mnono toka kwenye taasisi zinazolipa vizuri. Kivyovyote vile inabidi wewe ndo u-fit kwenye mfumo wake. Ukiwa chini sana kiuchumi risk ya kupoteza cheo cha kichwa cha familia inakuwa kubwa zaidi. Akiwa na kiongozi wa kiroho anayemwita Daddy basi WAFWA.
Pamoja na yote bado kuna wanaume hupenda wanawake wa aina hii kwa sababu ya kunufaika kimaslahi.
Udhaifu gani mkuu? Fafanua kwa faida ya wote.Wanawake wa aina hiyo Wana udhaifu mdogo ambao watu wengi hawaujui
Ukishaujua huo udhaifu unaburuza huyo mwanamke kama kondoo na hakuna kitu anafanya.
Lazima uwe na akili nyingi kumzidi hiyo ipo constant
Udhaifu gani mkuu? Fafanua kwa faida ya wote.
Huwa inafikirisha kukuta mke wako au dada yako anamwita daddy mchungajiNafasi ya mwanaume kwa kila mwanamke haikwepeki isipokuwa namna sahihi ya kukaa kwenye nafasi hiyo ndilo tatizo. Haijalishi umri, hali ya kiuchumi na maisha kiujumla. Siku hizi Hawa wanaoitwa "Daddy" wa kiroho ndo wanawapa viburi na kuahiribu ile hulka ya kiuanamke ndani yao.