Inahitaji akili mingi sana na ujasiri kuwa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu

Si mnapenda waliosoma na kazi mkiamini watawapiga Jerk mambo ya kikwama?

Asili haijipingi.🤣🤣🤣 utapinda mgongo bure
 
Mwanamke kuwa na elimu na fedha hakumuondolei asili yake ya kike, tatizo ni mwanaume kutojiamini,,,,mwanamke anahitaji kuoneshwa UPENDO, KUSIFIWA, KUMJALI, NA USALAMA mwanaume hahitaji fedha kwenye hayo mambo manne..
 
Kwa usalama wa mahusiano/ndoa settle na mwanamke ambae umemzidi kila kitu kwa mbali sana. It's not inferiority complex, it wisdom
 
Mwanamke kuwa na elimu na fedha hakumuondolei asili yake ya kike, tatizo ni mwanaume kutojiamini,,,,mwanamke anahitaji kuoneshwa UPENDO, KUSIFIWA, KUMJALI, NA USALAMA mwanaume hahitaji fedha kwenye hayo mambo manne..
Mapigo ya kizamani sana haya
 
Kuhusu pesa ni sawa.
Elimu ni kitu cha kuongeza, labda uwe na vyeti vichafu.

Ukiona mtu wako anakudharau kwa sababu ya elimu ujue huyo hakufai.
 
Wanawake wa aina hiyo Wana udhaifu mdogo ambao watu wengi hawaujui
Ukishaujua huo udhaifu unaburuza huyo mwanamke kama kondoo na hakuna kitu anafanya.

Lazima uwe na akili nyingi kumzidi hiyo ipo constant
 
Udhaifu gani mkuu? Fafanua kwa faida ya wote.
 
Udhaifu gani mkuu? Fafanua kwa faida ya wote.

Udhaifu huo wanaujua Manabii Fake, na waganga wa kienyeji.

Mbona hao Manabii na Waganga wa kienyeji wanaweza kuwa Maskini, wenye Elimu Duni na bado wanawaburuza?

Mwanamke ni mwanamke tuu hata angekuwa Mfalme au mungu.
Ukiwa na akili iliyotulia unamuendesha
 
Huwa inafikirisha kukuta mke wako au dada yako anamwita daddy mchungaji
 
Kiumbe wa design hio wanataka cha kwanza kabisa usalama wake, upendo, maamuzi, uwemjanja kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…