Inahitaji akili mingi sana na ujasiri kuwa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu

Mzee Mtibeli huo muda wa kujifunza jinsi ya kumuendesha ni bora kujitwalia binti mtulivu asiye na mambo mengi sana. Hawa mamanzi wanaojua hadi vifungu vya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2009 wawe tu single mothers.
 
Mfano ana masters na hana ajira bado atakuwa jeuri kwangu? Ongea ili ueleweke kuwa mwanamke akiwa na pesa kukuzidi ni lazima upitie msoto....kinachomfanya mtu aheshimike katika jamii ni PESA tu wapuuzi ninyi
 
Aisee
 
Mzee Mtibeli huo muda wa kujifunza jinsi ya kumuendesha ni bora kujitwalia binti mtulivu asiye na mambo mengi sana. Hawa mamanzi wanaojua hadi vifungu vya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2009 wawe tu single mothers.
Seems mnataka mwanamke w Ndio kwa kila kitu..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…