Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Tatizo ni wewe kulazimisha mambo, iko simpo, ukiona 200 inachemka basi jua hiyo ni gari ya kutembelea mjini vitrip vidogo vidogo, kama umeamua kutoka nayo dar arusha non stop ni tatizo lako!
 
Jamaa tusiongelee ushabiki tuchangie hoja kwa points
KILA GARI INA CC ZAKE
mfavo VITZ zipo aina TATU za vits KIKUBWA ZAIDI NI ZINATOFAUTIANA CC
hata PASO ni ivo ivo na IST ni ivo ivo
Mimi nimetoka na PASSO dar
Nlitoka dar usiku saa4 mdogomdogo 10alfjr dom
Nikaamsha dom Saa1 asbh kukipambazuka hamna speed kwasbb ya tochi
1nanusu magharibi nikaingia mwanza
Tena bila tatizo bila gari kuchemka na kuanzia singida nlikua nakula AC hadi nzega
Sasa ukiwa umezoea kuendesha CRUSER 2300CC,long safari ukaja ukaendesha Passo 850CC long safari Mkuu hapo Passo unaeza hata ukaipasua injin
Kwasbb utataka speed kama ya Cruiser[emoji3]
 
Yalikuwemo mengine Lita 10. Tanki haiwezi kuwa empty.
1 litre ni sawa na km 20 running ( maximum capacity). Reccomended ni km 17 per litre.
 
Dar Moro ni kama Km 205 mkuu.. Ni kweli kabisa wala siwezi idanganya halaiki hii yote bila sababu...
 
sio kweli umbali wa 205, mi napiga route za dar moro daily ni 280KM
If you want to go by car, the driving distance between Dar es Salaam and Morogoro is 193.63 km. Mkuu, labda wewe utakuwa unakwenda kwa kutumia usafiri gani? Sidhani kama utakuwa unatumia bara bara na sidhani kama utakuwa uanendesha... Au Morogoro unayoizungumzia wewe ni ile ya Ifakara?
 
Yalikuwemo mengine Lita 10. Tanki haiwezi kuwa empty.
1 litre ni sawa na km 20 running ( maximum capacity). Reccomended ni km 17 per litre.
hayo ndio mambo sasa
 
Kuna MTU alienda Rwanda na passo.
Hiyo Gari yako inachemka kwasababu hujatoa thermostat

mkuu unajua kazi ta thermostat??hiyo inafanya kama sensor sasa unaitoaje na wakati katika cooling system inahitaji ku make na ku brake switching mechanism
 

Hahahaa Dar Dom masaa 7? We jamaa bana si ungepanda Shabiby tu
 
Salam mkuu. Huna contacts za mizigo ya huku mbeya. Nipo huku wiki ya 3 naishia punyere tu

We jamaa nlikua nahisi kama pastor kwa miaka mingi..kumbe hahahhahaa unataka nikusaidie kutenda dhambi? No way, siwez kuwa accomplice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…