barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Tatizo ni wewe kulazimisha mambo, iko simpo, ukiona 200 inachemka basi jua hiyo ni gari ya kutembelea mjini vitrip vidogo vidogo, kama umeamua kutoka nayo dar arusha non stop ni tatizo lako!Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?
Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.