Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahah aisee ni hatari, na tuombe wasiadopt sheria ya co-emissions tu maana wengi watahamia kwenye pikipiki.Ushuru wa gari mpya sio wa mchezo mkuu,, ni zaidi ya bei ya gari mpya huko zinakotoka.