Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali ya kidadisi haya na mara nyingi jibu huwa ni la kimoyomoyohivi passo za zambia, congo, rwanda zile IT zinazoshukia bandarini dar huwa zinapelekwaje nchi zao?? huwa zinabebwa na malori au zinaendeshwa??? na je dar lubumbashi au kigali au lusaka ni chini ya km 200???
isijekuwa mtu kauziwa mkweche anatudanganya hapa
Acheni upuuzi wenu hii ni gari amabayo naamini Watanzania wengi kutokana na hali zao ni ngumu sana kuimiliki.Hv PASSO zinahitaji Road Licence?
Umenunua skrepa mkuu....kuchemsha ni ugonjwa sio make up ya chombo. Tatizo watu wanakopa mil4 fasta wanatangaza kununua gari ....muuzaji anawaambia njoo na fundi wako aikague ah ah ah...umenunua mzoga mkuu! Uza skrepa agiza kitu japani naamini ukirudi utafuta uzi wako. Passo ikikuzingua njoo kwetu WANAJAMII wa SUBARUNarudia, passo ni sawa na wheel Barrow yenye injini. Usithubutu kununua.
Acheni upuuzi wenu hii ni gari amabayo naamini Watanzania wengi kutokana na hali zao ni ngumu sana kuimiliki.
Bei ya sasa ya Passo ni kuanzia milioni 7 mpaka 10. Hebu niambie ni Watanzania wangapi wanaweza kununua hii gari?.
Tusijifanye sisi ni Wajapan
Hivi Tanzania imewahi kutengeneza hata pikipiki?
Watanzania ni watu wa ajabu sana!!!!!!Mkuu un
Wengi wa wanaobeza hata baiskeli hawana
Ushuru wa gari mpya sio wa mchezo mkuu,, ni zaidi ya bei ya gari mpya huko zinakotoka.Ingekuwa amri yangu ningepiga ban gari za kipuuzi zisitumike maeneo ya mjini kabisa labda mikoani huko.Exception ni kama zikiwa kwenye kampuni ya taxi na zisizidi miaka mitatu from manufactured date.
Kwa wote wenye plates za njano nahitaji kuona SUV za maana tu jijini Dar, na executive sedans, series 7 bmw, s class, royal crown, jaguar xf, ls 500 and the like! Zote zitembeazo zisizidi 5 years from manufactured date.
Sio kujaza barabara na mataka taka foleni tu za kijinga. Wasioweza wapande mwendokasi ziwekwe kila route,treni ama wanunue pikipiki!
Joshua limited acha dharau. Passo is among the motor vehicles. Passo has road licence, insuranceHv PASSO zinahitaji Road Licence?