Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Nimekaa nayo miaka mitatu na root za dar Mwanza,dar tanga hakijawahi kunizingua mpaka nimekiuza
 
hivi passo za zambia, congo, rwanda zile IT zinazoshukia bandarini dar huwa zinapelekwaje nchi zao?? huwa zinabebwa na malori au zinaendeshwa??? na je dar lubumbashi au kigali au lusaka ni chini ya km 200???

isijekuwa mtu kauziwa mkweche anatudanganya hapa
Maswali ya kidadisi haya na mara nyingi jibu huwa ni la kimoyomoyo
 
COLLLLLLAAAAA.jpg


Kitu hicho juu ambacho alinunua babu mpaka mjukuu anatumia, PASSO kama ingekuwa corolla xe ambazo zilitoka 1995 sidhani kama zingekuwa zinaonekana barabarani kama zinavyoonekana Toyota corolla.

All in all gari ni utunzaji wako tu na kuendesha kwa tahadhari maana barabara siku hizi ni lami na gari ikitembea umbali mrefu engine haipati moto kivile kama misele ya town kikubwa ni kutoipigiza tu kama kuna vikorongo vidogovidogo
 
Hv PASSO zinahitaji Road Licence?
 
PASSO zipigwe marufuku hapa nchini. zinajaza vibaka mjini
 
Hv PASSO zinahitaji Road Licence?
Acheni upuuzi wenu hii ni gari amabayo naamini Watanzania wengi kutokana na hali zao ni ngumu sana kuimiliki.

Bei ya sasa ya Passo ni kuanzia milioni 7 mpaka 10. Hebu niambie ni Watanzania wangapi wanaweza kununua hii gari?.
Tusijifanye sisi ni Wajapan
Hivi Tanzania imewahi kutengeneza hata pikipiki?
 
Narudia, passo ni sawa na wheel Barrow yenye injini. Usithubutu kununua.
Umenunua skrepa mkuu....kuchemsha ni ugonjwa sio make up ya chombo. Tatizo watu wanakopa mil4 fasta wanatangaza kununua gari ....muuzaji anawaambia njoo na fundi wako aikague ah ah ah...umenunua mzoga mkuu! Uza skrepa agiza kitu japani naamini ukirudi utafuta uzi wako. Passo ikikuzingua njoo kwetu WANAJAMII wa SUBARU
 
Mkuu un
Acheni upuuzi wenu hii ni gari amabayo naamini Watanzania wengi kutokana na hali zao ni ngumu sana kuimiliki.

Bei ya sasa ya Passo ni kuanzia milioni 7 mpaka 10. Hebu niambie ni Watanzania wangapi wanaweza kununua hii gari?.
Tusijifanye sisi ni Wajapan
Hivi Tanzania imewahi kutengeneza hata pikipiki?


Wengi wa wanaobeza hata baiskeli hawana
 
Mhe. Bashite itisha maandamano ya KUSITISHA ku-import PASSO jijini.
 
Ingekuwa amri yangu ningepiga ban gari za kipuuzi zisitumike maeneo ya mjini kabisa labda mikoani huko.Exception ni kama zikiwa kwenye kampuni ya taxi na zisizidi miaka mitatu from manufactured date.

Kwa wote wenye plates za njano nahitaji kuona SUV za maana tu jijini Dar, na executive sedans, series 7 bmw, s class, royal crown, jaguar xf, ls 500 and the like! Zote zitembeazo zisizidi 5 years from manufactured date.

Sio kujaza barabara na mataka taka foleni tu za kijinga. Wasioweza wapande mwendokasi ziwekwe kila route,treni ama wanunue pikipiki!
Ushuru wa gari mpya sio wa mchezo mkuu,, ni zaidi ya bei ya gari mpya huko zinakotoka.
 
Hv PASSO zinahitaji Road Licence?
Joshua limited acha dharau. Passo is among the motor vehicles. Passo has road licence, insurance
Passo inasaidia kuokoa parking space.
Matumizi ya mafuta. Dharau sio nzuri.
 
Passo ndani ya makete mjombaaa mtoa. Mada hiyo Passo yako ya uongooo
 
Back
Top Bottom