Udereva nao ni taaluma muhimu sana , wengine hatuna ujuzi bora wa kujua namna ya kuendesha gari kwa kulingana na specification zake, mfano mtu alijifunza kwa kutumia Land Rover 109 au RAV4 2000cc anaendesha mabonde kuinama halafu leo unampa aendeshe Passo 990cc njia hiyo hiyo unategemea atasemaje ? kwanza hajui kutofautisha uwezo wa hizo engine tu
Pia ni vema kutambua kuwa hiyo engine ya PASSO K3 1290cc ndhi hiyo hiyo ilioko kwenye Corolla , Starlet, LiteAce, TownAce, Daihatsu
Hakika kwa dereva bora PASSO ni gari bora sana tena yenye 1290 cc haina mipaka ya kuiendesha popote pale utafia na utapita sawa kabisa na aliye na gari nyingine Dar to South Africa utafika bila shaka