Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Hiyo ina shida
mm nataka kujua shida yake ni ipi maana hii Gari(passo) niliinunua dar but mm naishi bukoba nilisafili nayo toka dar na nillala siku mbili njiaan yaan singida na kahama na haikuchemsha lakin nilivyo kaa nayo Kama wiki mbili ivi na service nilikuwa nimefanya lakin gafra taa ya oil ikawa inawaka wakati nimefanya service Kama wiki moja ilopita lakin mafundi wakanambia ni oil pump nikanunua oil pump used nikaweka but kuna siku nimepata safari gafra ya kusindikiza msiba nikapakiza wafiwa ili kuwapeleka kuzika yaan haikumaluza hata kilomita 70 taa ya oil ikawaka tena sasa sijui tatizo ni nini
 
Kati ya Suzuki Swift, Toyota Passo, Toyota Vitz/Yaris, Honda Fit na Toyota Starlet. Ni baby walker gani ipo imara zaidi, inaweza kwenda masafa zaidi (considering kuwa hizi zote ni town cars). Sijaweka Toyota IST coz nahisi ipo juu ya hizi zote.
Hapo ni Toyota Starlet ndo mashine balaa..
 
Huu uzi umeniumiza sana, haya tufanye biashara nina Passo namba D serious buyer aje Pm
 
We ndio wa Koromije kbs, ist yeboyebo kama wali! Huto tugari khaaa aisee ni twingi mjini unaweza dhani ni vya kuhongwa au promotion
IST ni nyingi kushinda mapato ya Jiji la Dodoma
 
1: Unaamka alfajiri kuwahi daladala.Unapanda bodaboda.Unafika kituoni unazunguka na gari ili mradi upate kiti na umalizie usingizi.Kumbuka kuipata hiyo seat lazima uwe na ubavu.
2: Unatumia DKK 180 kwenye foleni. Ndani ya daladala
3: Mwingine unapanda bajaji( abiria watatu hamjuani) kila mmoja anamuogopa abiria mwenzake.
NINAAMINI KUWA NA PASSO NI BORA MARA 100 .FUEL CONSUMPTION NI NZURI. SERVICE YA KAWAIDA ( oil, oil filter na workman haifiki 100,000)
Oil( 3 lts tsh 40000/ filter 15000 ufundi 10000. .Next service km 3000.
 
Sababu zako ni dhaifu mno. Bado hujashawishi kuwa Passo ni gari
 
Gari( motor vehicle) ni nini?
Unaposema motor vehicle basi huwezi ku-ignore vitu kama comfort na safety features.

Sasa sidhani kama ukiwa kwenye Passo unapata comfort yoyote ile, achilia mbali safety.
 
Back
Top Bottom