Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Kwa hiyo kikienda moshi mara [emoji817] kamekufwaaa
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Labda hiyo uliyoiona au unayomiliki ni mbovu. Mimi nimesafiri kwa Passo umbali wa 330km kwenda na kurudi na haijaleta tatizo lolote!
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.

Udereva nao ni taaluma muhimu sana , wengine hatuna ujuzi bora wa kujua namna ya kuendesha gari kwa kulingana na specification zake, mfano mtu alijifunza kwa kutumia Land Rover 109 au RAV4 2000cc anaendesha mabonde kuinama halafu leo unampa aendeshe Passo 990cc njia hiyo hiyo unategemea atasemaje ? kwanza hajui kutofautisha uwezo wa hizo engine tu

Pia ni vema kutambua kuwa hiyo engine ya PASSO K3 1290cc ndhi hiyo hiyo ilioko kwenye Corolla , Starlet, LiteAce, TownAce, Daihatsu

Hakika kwa dereva bora PASSO ni gari bora sana tena yenye 1290 cc haina mipaka ya kuiendesha popote pale utafia na utapita sawa kabisa na aliye na gari nyingine Dar to South Africa utafika bila shaka
 
Mi ninayo na nimeenda nayo Morogoro zaidi ya mara moja toka dar na nimeenda nayo Tanga bila shida. Kwa speed zetu hizi za 80kph utaenda sawa tu na wenye brevis, atakuacha milimani. Ila hizi engine za cc990 hazina power sana. Yangu nataka kufunga engine ya cc1300
 
upo vizuri mkuu hata mimi nimepata pa kuanzia
 
Ndiyo gari aise mwaka 3 sasa cc1290 kila nwaka naenda nayo moshi sijawi sikia huko kuchemsha tarehe 20 naenda nayo moshi.

Mwaka huu mwezi wa sita nimeenda Dodoma nometoka 11:00 asubihi nimefika saa 1:00 morogoro tumpata chai saa 2:00 tumeondoka morogoro nimeingia Dodoma saa 5 adubuhi

Kila siku nipo barabarani natembea km 90 kutoka nyumbani mpaka kazini sijawahi ona ikichemka.

Mimi nadhani gari ni matunzo tu kufanya service kwa wakati
 
Consumptions yake vipi
 
Kati ya Suzuki Swift, Toyota Passo, Toyota Vitz/Yaris, Honda Fit na Toyota Starlet. Ni baby walker gani ipo imara zaidi, inaweza kwenda masafa zaidi (considering kuwa hizi zote ni town cars). Sijaweka Toyota IST coz nahisi ipo juu ya hizi zote.
Daihatsu terios kid 660cc. Hii gari ya kazi ipo juu na ina real deef
 
Mkuu, bora terios au cami kuliko Terios kid. Terios kid ni kadogo mno.
Watu saiz wanatafuta gari ambayo ni cost effective kuirun. Mtu unakuta una mshahara wa 1.5m unalazimisha gari ya 2400cc akati unakaa kwenye foleni 3 -4 hours kwa siku, and unatumia wese la 20000 kwa siku., usitegemee maendeleo kwako. Tena ningekuwa naishi dar mm ningenunua hii hapa. Hata kid kwangu running cost kubwa
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Mi nilitokaga nacho toka boda ya KASUMULU kikaja kuchemkia ukiteremka mlima kitonga kuna sehem wanauza vitunguu na nyanya.ila tulifika salama ila so gari mzuri mkuu sikushauri ununue iko na shida nyingi sana.Tatizo kuu hizi gari ni sterling lake
 
Asante mkuu kwa ushauri. Bora ninunue BOXER kuliko Passo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…