Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Suzuki wanaweza sana kuzitoa gari economical and durable toka enzi za samurai na maruti.
 
Hahah aisee ni hatari, na tuombe wasiadopt sheria ya co-emissions tu maana wengi watahamia kwenye pikipiki.
Pikipiki nayo haitakamatiki, tutaishia kulalamika mitandaoni kama bundle zitakuwa haziwekewa kodi " surfing tax"
 
Pikipiki nayo haitakamatiki, tutaishia kulalamika mitandaoni kama bundle zitakuwa haziwekewa kodi " surfing tax"
Nadhani mkiongelea pikipiki huna maana ya takataka za China na India. you mean Suzuki, Yamaha, Honda, Ducati, KTM , BMW, Harley Davidson.
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Bajaji io, nlikua nayo ckuwa na jinsi nkamwachia my mom kwa ajili ya misele ya apa n pale... kitu SPACIO bhnaaa kokote naenda mrad mkeka uwepo tu.... Co korogisheni
 
Mmh baby walker zinatutesa tusio na pesa jaman, mtuacheee
 
Hizi habari mnatoa wapi? Sasa hivi nina gari lina km 234,000. Hili ukiliona na kuendesha hutajua kama limetembea km234k. Lingine limepaki lina miles 160,000 ambazo ni km 250,000+.
Hv gari ili liwe halifai kuendeshwa tena linabidi litembee km ngapi? hata kama unalifanyia services kila km ulizoandikiwa zinapofika? Msaada tafadhari
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Ninayo zaidi ya 3 mitatu sasa naenda Iringa Dodoma bila presha na iko fit yako ni Bajaj sio basso
 
Hapo ndipo ulipoungua mpini likabaki Shoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…