Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Kuna passo imebanduliwa na cruiser hapa haitamaniki, hizi gari za take away hizi
 
Ukiwa na noah ,,unaweza ukatumiaa lita ngapi kutoka moro to dom

shushushu VIP
 
Passo haikupaswa kuruhusiwa nchini
 
Kati ya Suzuki Swift, Toyota Passo, Toyota Vitz/Yaris, Honda Fit na Toyota Starlet. Ni baby walker gani ipo imara zaidi, inaweza kwenda masafa zaidi (considering kuwa hizi zote ni town cars). Sijaweka Toyota IST coz nahisi ipo juu ya hizi zote.
Duet
 
Back
Top Bottom