Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

MIMI GARI YANGU NI VITZ CLAVIA YA 2003 CC1290 MAFUTA KUTOKA ARUSHA TO MWANZA NATEMBELEA LITA 30 TU YAANI KWA TSHS. 70000... NYINYI NGANGANIENI MAGARI MAKUBWA... WENZANGU WENYE RAV 4, HARRIER WANATUMIA MAFUTA YA ZAIDI YA TSHS. 200,000/=... TUKANENI MAGARI MADOGO ILA TUNAYOYATUMIA TUNAJUA FAIDA ZAKE...
 
Wache walalame jana nmetoka na passo moro to tanga 300km kwa mafuta ya 35,000 tu.... yaan kitu yasoma 20km per ltr na ni 5 hours tu... waache wakomae na hayo magari yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaosifia vijigar vidogo mjue si advisable sana kwa safari ndefu za kwenye highway! Vina hatari ya kupinduliwa kwa upepo! Nyie chekeleeni mafuta kiduchu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.[
Si uuze tuu mku uwe unatembea kwa mguu, kwanza kunafaida nyingi sana za kutembea kwa mguu
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Unafikiri kila mtu yuko sawa na mwingine?
 
Tahadhari ndugu mtanzania, nunua gari kulingana na mahitaji yako. Usiangalie nani anafanya nn na kwa sababu gani.
Gari kwa dunia ya kesho nchi hii itakuwa ni hitaji muhimu, achana na maswala ya muonekano, kuwa practical.
Usijiingize kwenye mashindano ya nani anaendesha nn. Lengo LA Gari ni kufacilitate mobility, kama unaweza kufikisha kwa pesa kidogo Fanya hivyo. Hiyo ndio akili.
Passo ni gari safi tu. Endesheni kwa kujiamini.

BTW its your car, Why sweat over what the other guy is saying. Enjoy your ride. Hata kama ni Bajaj q..what!?
 
Back
Top Bottom