Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hiyo gari ipo vizuri tuu wala aina matatizo yeyote nilidhani sijui gari gani starlet jembe la mkono...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji817]Starlet nazikubali sana ila kwa sasa zimeshapitwa na wakati labda ununue kwa upenzi wa model hiyo tu
Ninayo moja ambayo ni Starlet gt turbo ep 82 ni safi sana ndugu mtoa mada, nimekuwa na gari tofauti kama vile Cresta Gx 100, Mark 11 grand, vitz, Carina nk lakini zimeikuta na zimeondoka na hiyo ipo pale pale.
Huo mfupa baba, watoto hawaelewi hizo mambo haswa wanapoona hivi vigari vya sasa.Leo nimekutana na Chaser avanger na AVN ni msumari kishenzi.
Chaser ipi gx81 gx90 au gx100 ??Leo nimekutana na Chaser avanger na AVN ni msumari kishenzi.
Nakubaliana na weweGari ngumu mafuta kijiko
Chaser ipi gx81 gx90 au gx100 ??
Huo mfupa baba, watoto hawaelewi hizo mambo haswa wanapoona hivi vigari vya sasa.
Gx 100 ni mashine aisee sema ndo hivyo zinauzwa bei chee sana mpaka 2M zipo za kutoshaGx 100
Kabisa mkuu cha kufanyia fujo barabarani siku mojamoja unakisukia mufler kinanguruma kama simba dume haka katoy bado kana utam wake kama kimesukwa freshStarlet nazikubali sana ila kwa sasa zimeshapitwa na wakati labda ununue kwa upenzi wa model hiyo tu
Mkuu wewe unaweza kununua gari ya aina hiyo kweli ?Watu walioyajulia magari ukubwani hua wanashida sana...wana akili mgando sijui unatakiwa ununie gari inayouzika kiurahisi, unatakiwa ununue kwa kwa mapenzi yako au kwa ajilo ya kuendesha sio kwa ajili ya kuuza pia gari hua ina reflect presonality yako labda kama una mambo ya kutaka kujionesha kwamba kila fashion ya gari na wewe umemiliki au umekua nayo ni umasikini kuuza gari ili ununue gari...hapa nimeambatanisha magari ya kizamani yanayoweza kuelezea personality yako mengine hayana hizo ABS, sijui Air Bag etc ila huu ni mtizamo tu
Huwezi kufananisha hizo gari ulizoweka na hiyo starlet hapo juu unataka kufananisha starlet na gx100 au 110 kweli?Watu walioyajulia magari ukubwani hua wanashida sana...wana akili mgando sijui unatakiwa ununie gari inayouzika kiurahisi, unatakiwa ununue kwa kwa mapenzi yako au kwa ajilo ya kuendesha sio kwa ajili ya kuuza pia gari hua ina reflect presonality yako labda kama una mambo ya kutaka kujionesha kwamba kila fashion ya gari na wewe umemiliki au umekua nayo ni umasikini kuuza gari ili ununue gari...hapa nimeambatanisha magari ya kizamani yanayoweza kuelezea personality yako mengine hayana hizo ABS, sijui Air Bag etc ila huu ni mtizamo tu
Mafuta yanauzwa buku sasahivi bado mnalalamika wese??Kigari kigumu sana hicho na ni manual ...manual ina raha zake asikwambie mtu..halafu wese kijiko...
Kabisa mkuu haka ni kutumia mara moja moja hasa kama ukikapata ka manual unakamua vibaya na kuenjoy mufler.Kabisa mkuu cha kufanyia fujo barabarani siku mojamoja unakisukia mufler kinanguruma kama simba dume haka katoy bado kana utam wake kama kimesukwa fresh
jf kila mtu ana gariNinayo moja ambayo ni Starlet gt turbo ep 82 ni safi sana ndugu mtoa mada, nimekuwa na gari tofauti kama vile Cresta Gx 100, Mark 11 grand, vitz, Carina nk lakini zimeikuta na zimeondoka na hiyo ipo pale pale.
Sio kila mtu yuko interested na hizo tech,sa hivi kuna wazungu kibao mitandaoni wanalalamika wame-miss kuendesha gari kama gari(No ABS,powerwindow,Parking assistant,Camera za nyuma,ma infotainment,Gps,Kweli hawezi kuuza hapo mtu ataona bora avute hata ist used au baby walker yoyote ile ila kwa hiyo ni ngumu sana gari haina hata ABS wala power window
Sio kila mtu yuko interested na hizo tech,sa hivi kuna wazungu kibao mitandaoni wanalalamika wame-miss kuendesha gari kama gari(No ABS,powerwindow,Parking assistant,Camera za nyuma,ma infotainment,Gps,
Lane change assist technology, inshort wamechoka na haya magari ya kisasa yaliyojazwa takataka nyingi.