Inahitaji ujasiri kununua gari kama hii

Inahitaji ujasiri kununua gari kama hii

Leo nimekutana na Chaser avanger na AVN ni msumari kishenzi.
Ninayo moja ambayo ni Starlet gt turbo ep 82 ni safi sana ndugu mtoa mada, nimekuwa na gari tofauti kama vile Cresta Gx 100, Mark 11 grand, vitz, Carina nk lakini zimeikuta na zimeondoka na hiyo ipo pale pale.
 
Watu walioyajulia magari ukubwani hua wanashida sana...wana akili mgando sijui unatakiwa ununie gari inayouzika kiurahisi, unatakiwa ununue kwa kwa mapenzi yako au kwa ajilo ya kuendesha sio kwa ajili ya kuuza pia gari hua ina reflect presonality yako labda kama una mambo ya kutaka kujionesha kwamba kila fashion ya gari na wewe umemiliki au umekua nayo ni umasikini kuuza gari ili ununue gari...hapa nimeambatanisha magari ya kizamani yanayoweza kuelezea personality yako mengine hayana hizo ABS, sijui Air Bag etc ila huu ni mtizamo tu
 
Attachments

  • Screenshot_20210119-203941_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203941_Gallery.jpg
    90 KB · Views: 13
  • Screenshot_20210119-203931_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203931_Gallery.jpg
    74.2 KB · Views: 13
  • Screenshot_20210119-203923_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203923_Gallery.jpg
    49.2 KB · Views: 13
  • Screenshot_20210119-203913_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203913_Gallery.jpg
    101.3 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210119-203903_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203903_Gallery.jpg
    154.5 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210119-203851_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203851_Gallery.jpg
    100.9 KB · Views: 11
  • Screenshot_20210119-203843_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203843_Gallery.jpg
    79 KB · Views: 11
  • Screenshot_20210119-203833_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203833_Gallery.jpg
    71.1 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210119-203824_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203824_Gallery.jpg
    104.7 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210119-203808_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203808_Gallery.jpg
    83 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210119-203757_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203757_Gallery.jpg
    36.7 KB · Views: 10
  • Screenshot_20210119-203749_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203749_Gallery.jpg
    65.6 KB · Views: 10
  • Screenshot_20210119-203727_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203727_Gallery.jpg
    82.1 KB · Views: 10
  • Screenshot_20210119-203722_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203722_Gallery.jpg
    57.2 KB · Views: 9
  • Screenshot_20210119-203716_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203716_Gallery.jpg
    73 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210119-203708_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203708_Gallery.jpg
    66.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210119-203702_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203702_Gallery.jpg
    58.6 KB · Views: 11
  • Screenshot_20210119-203656_Gallery.jpg
    Screenshot_20210119-203656_Gallery.jpg
    43.3 KB · Views: 11
Starlet nazikubali sana ila kwa sasa zimeshapitwa na wakati labda ununue kwa upenzi wa model hiyo tu
Kabisa mkuu cha kufanyia fujo barabarani siku mojamoja unakisukia mufler kinanguruma kama simba dume haka katoy bado kana utam wake kama kimesukwa fresh
 
Watu walioyajulia magari ukubwani hua wanashida sana...wana akili mgando sijui unatakiwa ununie gari inayouzika kiurahisi, unatakiwa ununue kwa kwa mapenzi yako au kwa ajilo ya kuendesha sio kwa ajili ya kuuza pia gari hua ina reflect presonality yako labda kama una mambo ya kutaka kujionesha kwamba kila fashion ya gari na wewe umemiliki au umekua nayo ni umasikini kuuza gari ili ununue gari...hapa nimeambatanisha magari ya kizamani yanayoweza kuelezea personality yako mengine hayana hizo ABS, sijui Air Bag etc ila huu ni mtizamo tu
Mkuu wewe unaweza kununua gari ya aina hiyo kweli ?
Halafu hapo hizo gari ulizoweka gx90 gx 100 na gx 110 mbona ziko vzuri tu na zote hizo zina airbags na ABS pia zina power window.
Sasa tufanye wewe umeyajulia magari ukiwa mtoto basi agiza hiyo starlet uendeshe 😂😂😂 sie tulioyajulia ukubwani tutanunua gari za kuanzia 2007 na kuendelea
 
Watu walioyajulia magari ukubwani hua wanashida sana...wana akili mgando sijui unatakiwa ununie gari inayouzika kiurahisi, unatakiwa ununue kwa kwa mapenzi yako au kwa ajilo ya kuendesha sio kwa ajili ya kuuza pia gari hua ina reflect presonality yako labda kama una mambo ya kutaka kujionesha kwamba kila fashion ya gari na wewe umemiliki au umekua nayo ni umasikini kuuza gari ili ununue gari...hapa nimeambatanisha magari ya kizamani yanayoweza kuelezea personality yako mengine hayana hizo ABS, sijui Air Bag etc ila huu ni mtizamo tu
Huwezi kufananisha hizo gari ulizoweka na hiyo starlet hapo juu unataka kufananisha starlet na gx100 au 110 kweli?
 
Kigari kigumu sana hicho na ni manual ...manual ina raha zake asikwambie mtu..halafu wese kijiko...
Mafuta yanauzwa buku sasahivi bado mnalalamika wese??

Hivi kwa Mentality hizi mnaweza push gari za 3000cc na kuendelea??
 
Kabisa mkuu cha kufanyia fujo barabarani siku mojamoja unakisukia mufler kinanguruma kama simba dume haka katoy bado kana utam wake kama kimesukwa fresh
Kabisa mkuu haka ni kutumia mara moja moja hasa kama ukikapata ka manual unakamua vibaya na kuenjoy mufler.

Hutakiwi kuwa na gari moja tu mana utakuwa unakosa features nyingi kwa gari za miaka ya karibuni.
 
Ninayo moja ambayo ni Starlet gt turbo ep 82 ni safi sana ndugu mtoa mada, nimekuwa na gari tofauti kama vile Cresta Gx 100, Mark 11 grand, vitz, Carina nk lakini zimeikuta na zimeondoka na hiyo ipo pale pale.
jf kila mtu ana gari
 
Kweli hawezi kuuza hapo mtu ataona bora avute hata ist used au baby walker yoyote ile ila kwa hiyo ni ngumu sana gari haina hata ABS wala power window
Sio kila mtu yuko interested na hizo tech,sa hivi kuna wazungu kibao mitandaoni wanalalamika wame-miss kuendesha gari kama gari(No ABS,powerwindow,Parking assistant,Camera za nyuma,ma infotainment,Gps,
Lane change assist technology, inshort wamechoka na haya magari ya kisasa yaliyojazwa takataka nyingi.
 
Hata wazungu wapo washamba pia. Lengo la teknolojia ni kurahisisha mambo.
 
Back
Top Bottom